Kwani vibamia ndo wanapendwa?Dah huyo atakuwa na kibamia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani vibamia ndo wanapendwa?Dah huyo atakuwa na kibamia
Sure, sema ujana ukishakutawala ndo hivyoHao ndio mwishoe uzeeni wanaumwa matezi dume, kuziba mikojo na takataka zingine zote magonjwa ya wazee
Nmeacha umalaya na uzinzi kupima si mchezo dah Jana nlipoenda kupima ngoma aisee nlikukutwa na dalili zote za HIV nkaogopa kuchukua majibu nkawapa no za mke Wang wampe
Kwahyo nliogopa kurud home mpk sa 6 iv nkamuua kurud niangalie mke Wang ypo katika hali gan dah sikuamin nkamkuta yupo anapga storii na kichekoo cha juu na majiran hapo hapo nkakimbilia boiler kuku mchele na safariii dah siwez kusahau na umalaya wote ule ule ngoma ZINAA MBAYA asante munguu
Mwanamke anakusubiri na majiran saa sita usiku nje?? We kwel una tatizo la msongo wa mawazo...Alikuwa ananisubiria
Mkeo bado hajatumiwa majibu!Nmeacha umalaya na uzinzi kupima si mchezo dah Jana nlipoenda kupima ngoma aisee nlikukutwa na dalili zote za HIV nkaogopa kuchukua majibu nkawapa no za mke Wang wampe
Kwahyo nliogopa kurud home mpk sa 6 iv nkamuua kurud niangalie mke Wang ypo katika hali gan dah sikuamin nkamkuta yupo anapga storii na kichekoo cha juu na majiran hapo hapo nkakimbilia boiler kuku mchele na safariii dah siwez kusahau na umalaya wote ule ule ngoma ZINAA MBAYA asante munguu
Katumiwaaa wewe tetx na kawapgiaMkeo bado hajatumiwa majibu!
Sipimi ng ooHahahaaaaaaa uo ndo ukwel baada ya miez 3 pma tn
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Usinipe presha mi cpimi tenaaaa