Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
woii haya makanisa ya wokovu niliwahi serebuka kama mwanakwaya ila siku walipomfanya sister aache ARVs ategemee muujiza na tuka mzika ndio niliona hiyo kanisa ya kufoka foka ni bure mnamwambia mtu aache dawawenzio wameanza mwaka na Mungu, wewe unaanza mwaka kwa uzinzi tena unajigamba. Mkumbuke Muumba wako kabla hazijaja siku mbaya kwako, kiburi cha uzima ni hasara ya nafsi yako. Mungu akusaidie. unamhitaji Yesu Kristo aponye maisha yako, uokoke kutoka kwenye utumwa wa dhambi ili upate uzima wa milele hapahapa duniani na milele yote.
imeisha mkuu ananiapia kwa jina la mungu wake mimi ndio mwanaume wa kwanza na huku break pumbu ndio naona haiwezekani kabisaVp thread imeisha au kuna muendelezo
Na tukazika mwingine wa cancer na yeye aliambiwa aache matibabu mungu wa israeli isaka na yakobo atampony na yeye tukazika hata mwaka hakutoboawoii haya makanisa ya wokovu niliwahi serebuka kama mwanakwaya ila siku walipomfanya sister aache ARVs ategemee muujiza na tuka mzika ndio niliona hiyo kanisa ya kufoka foka ni bure mnamwambia mtu aache dawa
kuna siku utatamani hata upate nafasi ya kusali hapo tu lakini hautaipata. mtafuteni Mungu maadamu anapatikana, mwiteni maadamu yu karibu, mtu mbaya na aache njia yake mbaya, na mtu asiye haki aache maovu yake, na amrudie Mungu naye atamrehemu, na arejee kwa Mungu wake naye atamsamehe kabisa. kuna wakati wanadamu tunapoteza muda katika mambo yasiyo na manufaa kwa uzima wa maisha yetu, we are just wasting time kwenye mambo ambayo hayaongezi chochote katika ufalme wa Mungu. lakini Neema ya Mungu bado ipo kwetu ndio maana Neno linasema, "maadamu anapatikana"kwasababu kuna wakati unaweza usipate hizo opportunity za kujigamba na kufanay hata dhihaka. kuna watu wapo kitandani sasahivi hata kunyanyua mkono hawawezi, wanatamani wangepata hata nafasi moja tu waende kanisani wakaimbe hata pambio moja tu lakini nafasi hiyo kwao haipo. ila wale walioneemiwa uzima take it for granted. Mungu atusaidie.woii haya makanisa ya wokovu niliwahi serebuka kama mwanakwaya ila siku walipomfanya sister aache ARVs ategemee muujiza na tuka mzika ndio niliona hiyo kanisa ya kufoka foka ni bure mnamwambia mtu aache dawa
Matibabu ni muhimu. sipingi kutumia dawa etc. lakini ishi ukijua uzima wako haupo kwenye matibabu tu, upo mikononi mwa Mungu. jiweke mikononi mwa Mungu akuepushe na matatizo mengi kama hayo yanayoweza kukufanya uhitaji kutibiwa. anakupenda sana ndio maana leo hii u mzima umevuka mwaka, unazini bado anakuangalia tu, ni kwamba anakupa nafasi nyingine ubadilike, usipobadilika ni juu yako. yeye Mungu ameshafanya kwa upande wake kukupa nafasi na alilipa deni looote kwa Damu ya Yesu Kristo, hivyo uamzi ni wako kweney fate ya maisha yako.n
Na tukazika mwingine wa cancer na yeye aliambiwa aache matibabu mungu wa israeli isaka na yakobo atampony na yeye tukazika hata mwaka hakutoboa
Meku mimi naamini kwenye mizimu kwani lazima wote tuabudu dini ya kaburu. Wewe kama unapata faraja huko na mafanikio sali sana mimi hakuna nilichosaidika huko ndio maana nikaachana nako kila mtu anashika kile kinachomsaidiakuna siku utatamani hata upate nafasi ya kusali hapo tu lakini hautaipata. mtafuteni Mungu maadamu anapatikana, mwiteni maadamu yu karibu, mtu mbaya na aache njia yake mbaya, na mtu asiye haki aache maovu yake, na amrudie Mungu naye atamrehemu, na arejee kwa Mungu wake naye atamsamehe kabisa. kuna wakati wanadamu tunapoteza muda katika mambo yasiyo na manufaa kwa uzima wa maisha yetu, we are just wasting time kwenye mambo ambayo hayaongezi chochote katika ufalme wa Mungu. lakini Neema ya Mungu bado ipo kwetu ndio maana Neno linasema, "maadamu anapatikana"kwasababu kuna wakati unaweza usipate hizo opportunity za kujigamba na kufanay hata dhihaka. kuna watu wapo kitandani sasahivi hata kunyanyua mkono hawawezi, wanatamani wangepata hata nafasi moja tu waende kanisani wakaimbe hata pambio moja tu lakini nafasi hiyo kwao haipo. ila wale walioneemiwa uzima take it for granted. Mungu atusaidie.
Da man kwani nikizini mwezi wa 3 na huu wa kwanza kuna utofauti ganiMatibabu ni muhimu. sipingi kutumia dawa etc. lakini ishi ukijua uzima wako haupo kwenye matibabu tu, upo mikononi mwa Mungu. jiweke mikononi mwa Mungu akuepushe na matatizo mengi kama hayo yanayoweza kukufanya uhitaji kutibiwa. anakupenda sana ndio maana leo hii u mzima umevuka mwaka, unazini bado anakuangalia tu, ni kwamba anakupa nafasi nyingine ubadilike, usipobadilika ni juu yako. yeye Mungu ameshafanya kwa upande wake kukupa nafasi na alilipa deni looote kwa Damu ya Yesu Kristo, hivyo uamzi ni wako kweney fate ya maisha yako.
kuna siku utaitafuta hiyo mizimu haitakusaidia ndugu yangu. labda kama wewe sio mwanadamu.Meku mimi naamini kwenye mizimu kwani lazima wote tuabudu dini ya kaburu. Wewe kama unapata faraja huko na mafanikio sali sana mimi hakuna nilichosaidika huko ndio maana nikaachana nako kila mtu anashika kile kinachomsaidia
Ndio inafanya kunisaidia kwa sasa huo wakati mwingine naweza nisi ihitaji sijaimarika ila nafuu nasonga na maisha mkuu kwani lazima niamini kwenye ukristo uku kukinishinda nitaslimkuna siku utaitafuta hiyo mizimu haitakusaidia ndugu yangu. labda kama wewe sio mwanadamu.