Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nanua ushuzi niletee kesho
mtungi wa oryx kw 50000Milligram moja unachukua kwa pessa ngapi ??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msimu wa Viazi na Magimbi ndo unaanza..,, Na uchumi ulivokaa hovyo.,, Ivo vijambo nahic vitageuka Hurricanes..!! Angalieni bhn huko maoffisin Tutauwana kwa kunyima hewa asee..!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mtungi wa oryx kw 50000
ahahaaaa jf vituko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
naombeni hako kachanga
mnaona sawa katoto ka watu kanavosuffocate humo ndani?
ahahaa sikapatii picha maskini[emoji23][emoji23][emoji23]...kanakulaje ushuzi mpaka akajielew,kamelewaje ushuz nziii!!
Nashukuru wote mlionipa ushauri nilipoleta tatizo langu la kujamba sana kila siku.
Alfajiri leo nimeenda kumuona doctor nimefanyiwa vipimo vyote vya tumbo sina tatizo lolote pia jana usiku nilikula papai na tango bila kula kitu kingine nimeamka vizuri nimejamba kama vijambo viwili tu vya kawaida.
Mungu alie mwema awabariki sana maana kachanga kangu leo kamelala vizuri bila hofu ya kushtuliwa na sauti zozote.
Jf raha sanaaaaHahaha hahaha hahaha,,,,dah jf sitoki kamwe labda kifo kiniondoe
Ila ukajambie?? Maana kameshazoea vijambo, katapata kansa kakivimisi.naombeni hako kachanga
KUMBE KUJAMBA KUNA AFYA NAMNA HII?Ila ukajambie?? Maana kameshazoea vijambo, katapata kansa kakivimisi.
We kibane tu hicho kijambio chako... unakosa fursa adimu za kiafya.KUMBE KUJAMBA KUNA AFYA NAMNA HII?