Mrejesho: Kumuacha Grace imeshindikana tena hata baada ya kumkazia kwa wiki mbili

Mrejesho: Kumuacha Grace imeshindikana tena hata baada ya kumkazia kwa wiki mbili

Lager

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2019
Posts
395
Reaction score
1,085
Niliamua kumkataa na kutokutaka asije gheto ili kuomba misamaha yake ya kitandani!, Jambo lililodumu kwa wiki mbili tu wakati nilijua forever.

Mara hii baada ya kuona nimeshikilia msimamo kwa muda mrefu akaamua isiwe tabu akaja gheto kwa lazima lakini hakufanikiwa kuingia maana angeingia tu tayari ningempa msamaha.

Nje na yote jamani dunia hadaa walimwengu shujaa!, Juzi si nikaenda bar kujipongeza kwa kumuacha Grace ile nimekunywa za kutosha nikachukua simu nikampigia ili nimuage nifute na namba yake, kupiga kapokea akiwa na sauti ya huzuni huku mimi nikichekelea kama mshindi wa tatu mzuka tayari na alcohol kadhaa kichwani.

Ktk maongezi nikawa naongea kwa nguvu mpaka mwenye bar akanifukuza nikarudi gheto kusema kweli sikumbuki niliongea nini na Grace isipokuwa naamka asubuhi namuona ubavuni kwangu! Sielewi nani alitupatanisha na nani alimfungulia mlango nachokumbuka neno lake la mwisho kulisema lilikuwa ni neno "TAMU" na sikumbuki alilisema tukiwa kitandani au simuni.

Sasa mara hii najikuta nina vitu viwili vya kupangua ni ama nimuache Grace au pombe maana hivyo vyote viwili nikiacha kimoja, kingine kinamrejesha mwenzake😢

1619851612041.png

Pia soma>> Grace usije tena gheto
 
Nilivyokusoma kwamda mfupi hapa ni kwamba hutaweza kuacha chochote kati ya hivyo viwili kwasababu huwezi kuacha pombe.

"Kilimanjaro ipo Tanzania kwasababu Mombasa ipo Kenya"
Schneppen, Heinz
 
au simuni.

Sasa mara hii najikuta nina vitu viwili vya kupangua ni ama nimuache grace au pombe maana hivyo vyote viwili nikiacha kimoja, chengine kinamrejesha mwenzake[emoji22]

Kwisha habari yako.

Wakubali wote wawili hakuna namna!!!
 
Niliamua kumkataa na kutokutaka asije gheto ili kuomba misamaha yake ya kitandani!,Jambo lililodumu kwa wiki mbili tu wakati nilijua forever.

Mara hii baada ya kuona nimeshikilia msimamo kwa muda mrefu akaamua isiwe tabu akaja gheto kwa lazima lakini hakufanikiwa kuingia maana angeingia tu tayari ningempa msamaha.

Nje na yote jamani dunia hadaa walimwengu shujaa!,juzi si nikaenda bar kujipongeza kwa kumuacha grace ile nimekunywa za kutosha nikachukua simu nikampigia ili nimuage nifute na namba yake,kupiga kapokea akiwa na sauti ya huzuni huku mimi nikichekelea kama mshindi wa tatu mzuka tayari na alcohol kadhaa kichwani.

Ktk maongezi nikawa naongea kwa nguvu mpaka mwenye bar akanifukuza nikarudi gheto kusema kweli sikumbuki niliongea nini na grace isipokuwa naamka asubuhi namuona ubavuni kwangu! Sielewi nani alitupatanisha na nani alimfungulia mlango nachokumbuka neno lake la mwisho kulisema lilikuwa ni neno "TAMU" na sikumbuki alilisema tukiwa kitandani au simuni.

Sasa mara hii najikuta nina vitu viwili vya kupangua ni ama nimuache grace au pombe maana hivyo vyote viwili nikiacha kimoja, chengine kinamrejesha mwenzake[emoji22]
Imekaa poa sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kipi kinakutesa mkuu kati ya hivo???
 
Mkuu me nauliza Kati ya Grace na gambe kipi kmeanza?

Jibu la kilichokuwa cha mwisho ndo ukiache, kamwe usisaliti cha kwanza kukianza.
 
Back
Top Bottom