Mrejesho: Kumuacha Grace imeshindikana tena hata baada ya kumkazia kwa wiki mbili

Mrejesho: Kumuacha Grace imeshindikana tena hata baada ya kumkazia kwa wiki mbili

Kwisha habari yako.

Wakubali wote wawili hakuna namna!!!
Maisha tu haya.
mpaka hapo auchomoki kwa grace, iyo TAMU yake amekutegeshea na mimba sasa utapangua vitu vitatu
grace
pombe
mimba
🙄🤨😣😐
Mkuu me nauliza Kati ya grace na gambe kipi kmeanza?

Jibu la kilichokuwa cha mwisho ndo ukiache, kamwe usisaliti cha kwanza kukianza.
Grace 😶
Kwani kipi kinakutesa mkuu kati ya hivo???
Grace anavisa sana ndo naenda kuangukia kwenye pombe ambayo nayo inamrudisha Grace kirahisi kabisa😢
 
Waache marafiki zako unaopiga nao gambe kwanini hawakukustua ulipokua unaongea na Grace?
 
Hahah
Niliamua kumkataa na kutokutaka asije gheto ili kuomba misamaha yake ya kitandani!,Jambo lililodumu kwa wiki mbili tu wakati nilijua forever.

Mara hii baada ya kuona nimeshikilia msimamo kwa muda mrefu akaamua isiwe tabu akaja gheto kwa lazima lakini hakufanikiwa kuingia maana angeingia tu tayari ningempa msamaha.

Nje na yote jamani dunia hadaa walimwengu shujaa!,juzi si nikaenda bar kujipongeza kwa kumuacha grace ile nimekunywa za kutosha nikachukua simu nikampigia ili nimuage nifute na namba yake,kupiga kapokea akiwa na sauti ya huzuni huku mimi nikichekelea kama mshindi wa tatu mzuka tayari na alcohol kadhaa kichwani.

Ktk maongezi nikawa naongea kwa nguvu mpaka mwenye bar akanifukuza nikarudi gheto kusema kweli sikumbuki niliongea nini na grace isipokuwa naamka asubuhi namuona ubavuni kwangu! Sielewi nani alitupatanisha na nani alimfungulia mlango nachokumbuka neno lake la mwisho kulisema lilikuwa ni neno "TAMU" na sikumbuki alilisema tukiwa kitandani au simuni.

Sasa mara hii najikuta nina vitu viwili vya kupangua ni ama nimuache grace au pombe maana hivyo vyote viwili nikiacha kimoja, chengine kinamrejesha mwenzake😢
Hahhaahah!we jamaa unapita kwenye majarbu sanaa,baada ya kupambana kumaliza tatizo moja sasa umeyaongeza yamekuwa mawili,na nakutabiria huko mbeleni utaongeza mengi zaid.,...ushauri,usimuache demu huku bado unampenda,jiridhishe kabxa kwamba sasa nimeamua kumuacha kwa dhati kabisaa
 
Hahah
Hahhaahah!we jamaa unapita kwenye majarbu sanaa,baada ya kupambana kumaliza tatizo moja sasa umeyaongeza yamekuwa mawili,na nakutabiria huko mbeleni utaongeza mengi zaid.,...ushauri,usimuache demu huku bado unampenda,jiridhishe kabxa kwamba sasa nimeamua kumuacha kwa dhati kabxa
😬😬
Kwa Grace huchomoki!
😟 Nitafanya jaribio jengine.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

"Kimeumana"
🙃
 
Niliamua kumkataa na kutokutaka asije gheto ili kuomba misamaha yake ya kitandani!, Jambo lililodumu kwa wiki mbili tu wakati nilijua forever.

Mara hii baada ya kuona nimeshikilia msimamo kwa muda mrefu akaamua isiwe tabu akaja gheto kwa lazima lakini hakufanikiwa kuingia maana angeingia tu tayari ningempa msamaha.

Nje na yote jamani dunia hadaa walimwengu shujaa!, Juzi si nikaenda bar kujipongeza kwa kumuacha Grace ile nimekunywa za kutosha nikachukua simu nikampigia ili nimuage nifute na namba yake, kupiga kapokea akiwa na sauti ya huzuni huku mimi nikichekelea kama mshindi wa tatu mzuka tayari na alcohol kadhaa kichwani.

Ktk maongezi nikawa naongea kwa nguvu mpaka mwenye bar akanifukuza nikarudi gheto kusema kweli sikumbuki niliongea nini na Grace isipokuwa naamka asubuhi namuona ubavuni kwangu! Sielewi nani alitupatanisha na nani alimfungulia mlango nachokumbuka neno lake la mwisho kulisema lilikuwa ni neno "TAMU" na sikumbuki alilisema tukiwa kitandani au simuni.

Sasa mara hii najikuta nina vitu viwili vya kupangua ni ama nimuache Grace au pombe maana hivyo vyote viwili nikiacha kimoja, kingine kinamrejesha mwenzake😢


Pia soma>> Grace usije tena gheto
Hahahaha ulikua unajivunga mkuu😲
 
Back
Top Bottom