Mrejesho: Kutahiriwa ukubwani!

nkowosi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
568
Reaction score
637
Kama kichwa cha habari kinavyosema baada ya kusoma taarifa za watu mbalimbali humu JF.

Juu ya uthubutu wao wa kutahiriwa ukubwani na wengine wakisema govi linafaida binafsi nikawa upande wa wanaopenda kutahiriwa nikiwa na umri wa miaka 25 taslimu nikafanya maamuz magum ya kwenda kutahiriwa nikiwa tayari mfanyaji ngono mashuhuri.na haya ndiyo nilioyashuhudia.

1.Kushonwa nyuzi mbili ngumu kutokana na ukubwa wa uume.

2. Kutolala kwa cku tatu mpaka nne kutokana na maumivu hasa usiku pale uume usimamapo.

3. Nyuzi kuzama ndan pale uume usimamapo na hivyo kuleta maumivu makali wakat wa kuzitoa.

4. Uume kuwa na makovu ya nyuz mengi kutokana na nyuzi kuzama ndani ya nyama.

USHAURI:

Kama bado hujatahiriwa n bora ubaki hivyo hivyo maana baada ya kutahiriwa sion raha ya mapenzi hata kidogo sijajua kama watakuwa wamekata mshipa wa raha pili uume hauna nguvu kama zamani kutokana na kukata baadhi ya mishipa nawashauri tena ambao bado waweze kuonana na madokta wenye ujuzi ili yasije tokea kama yangu.
 

duh pole sana mkuu, naona umewaachia urijali wako.

kwa mliobakia nendeni mahospitalini, machakani siyo ishu
 
Teh teh teh!!
Mkuu ulijitahiri kienyeji bila kwenda kwa wataalamu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…