Mrejesho: Maboresho ya ramani ya nyumba yangu

Mrejesho: Maboresho ya ramani ya nyumba yangu

Jiko na Dining ni open concept na vinashikana kama chumba kimoja. That's why nikataka mlango ukae hapo vinapokutana. Is it a problem?
Kwa ramani nyingi huwa haipo hivyo. Yaani mpishi atoke jikoni apite dining ndo aende kitchen verandah? Unaona iko sawa kweli mkuu?
 
Kwa ramani nyingi huwa haipo hivyo. Yaani mpishi atoke jikoni apite dining ndo aende kitchen verandah? Unaona iko sawa kweli mkuu?
Ni kweli mkuu, kwenye ramani nyingi huwa haipo hivyo.... lakini ramani nyingi ni majiko ya kujitenga na Dining (closed kitchen).

Hii hapa ya open kitchen, si jiko na Dining ni chumba kimoja kirefu kilichoshikana? Kuweka mlango kwenye makutano ya jiko na dining (zinapokutana), si sawa tu? Ili jiko liwe na space ya makabati.

Au mimi ndio naona isivyo sahihi?
 
Kwa ushauri wangu hapo kwenye kitchen, store na laundry room ungeacha kama ilivyokuwa kwenye ramani yako ya kwanza

Ila pale kwenye kitchen ndo ungeongeza hiyo kitchen verandah

Halafu mpishi atakuwa huru kufanya mambo yake kitchen verandah ikiwa kulekule jiko lilipo. Atakaa kwenye ngazi za kitchen verandah labda kuchambua mchele kutumia labda jiko la mkaa na mishe zingine zote za jikoni

Yaani ile kutoka na kuingia jikoni inakuwa rahisi kwake

Iache dining room isiwe njia ya kuingia jikoni. Hapo ilipo kitchen verandah badala ya mlango weka dirisha lako kubwa zuri dining patanoga sana
 
Sorry nilimaanisha kitchen verandah

Kitchen verandah ikae pale lillipo jiko ili kuepusha usumbufu wa kupitapita dining room
Mkuu wa kupambania, nashukuru kwa mawazo mazuri. Ila Jiko na Dining kwa ramani hii si ni kitu kimoja ?(Kwa maana ya open kitchen).
Na hata huo mlango si upo mpakani mwa dining na kitchen ambavyo vimeungana?

Huko kupitia dining kunakuwaje hapa wakati dining na jiko vimeungana?

Nielimishe, kwa namna ambavyo kitchen na dining vimeungana kama chumba kimoja (open floor), je kuna ulazima sana wa kuuondoa huo mlango hapo kwenye makutano ya kitchen na dining na kuurudisha ndani ya dining?
 
1. Madirisha yapo kwenye kila chumba, naona alisahau kuyaweka kwenye hii draft.

2. Office na laundry kwa life style yangu ni muhimu. Sijui kwa nini umeshauri niviondoe!!!

3. Umesema niongeze ukubwa wa sitting room. Sitting room ya 4*6 meters ni ndogo? Mbona naona kama inatosha kabisa?

4. Nitaongeza kidogo dining, ila Jiko la 3*3 ni dogo?
Endelea mkuu na ulichoamua. Inaonekana tayari umeshafanya maamuzi. Ila tambua tu kwamba hii ramani iko na madhaifu mengi sana.
Simlaumu mchoraji huenda tatizo ni wewe. Ubishi.
 
Endelea mkuu na ulichoamua. Inaonekana tayari umeshafanya maamuzi. Ila tambua tu kwamba hii ramani iko na madhaifu mengi sana.
Simlaumu mchoraji huenda tatizo ni wewe. Ubishi.
Kwa nini unaumia ushauri wako ukiwa challenged?

Unanishauri niondoe laundry na ofisi...
This is 2023 dude, kwa lifestyle yangu najengaje nyumba bila laundry na small ofice kwa mfano?

Halafu nikikupa facts nikwa nini siwezi kuziondoa unapanick... Unapanick nini?
 
Sina muda wa kuandika sana, nyumba ni yako endelea.
 
Back
Top Bottom