Mrejesho: Madhara ya kumwagiwa shahawa

Kuna nchi fulani hivi...mke akifiwa HARUHUSIWI KUOLEWA na mtu mwingine ndani ya mwaka mmoja (tangu afiwe).
Kwa waislam inatakiwa akae miezi minne na siku kumi
 
Umetumia uelewa wako wa dini ama kitaabibu kuandika hii comment?
 
Huyo mtaalam wa afya alokupa huo mlejesho kna haja ya kukagua vyet vyake
 

Kumbe kuwa watu hawana cha kufanya...Wangekuwa nacho wasingepoteza muda kuja na mada mfano wa hii...sijui ina tija gani kwake na kwa watu wanaotaka waisome!
 
Sio Zinajaa matakoni kwa wanawake
Hazijai mkuu Bali kwa vile ni protein in nature zingine zinatumika kama virutubisho kujenga mwili zingne zinatolewa ..

Angalizo:
Sio kila anayemwagiwa zinamnawirisha kuna wengine zinawakataa
 
Nimependa mchango wako, ila umeniacha gizan mahali... kuka "eda" ndio kukaa wapi huko mkuu?

Sisi wa imani tofauti kidogo tunapata shida kuelewa hapo.
 
Sio Zinajaa matakoni kwa wanawake
Alivyosema mtoa mada ni sahihi..
Kuna siku nimewahi kupiga story na mchizi mmoja ambae ni gay tangu mwaka 2008. Aliniambia the same thing, ukishafanya mara moja tu huwezi ukaacha manii huwa zinaoza zikishapita siku tatu baada ya tendo na zinatolewa nje kwa njia ya kinyesi, lakini sio kwamba zinatoka zote.... kuna zingine zinabaki kama mucus na hizo upelekea mwili kuadapt na kujikuta unatamani kufanya tena, na kadri unavyofanya mara nyingi ndivyo hata hizo mucus zinazidi kuwa nyingi na kusababisha muwasho wa mara kwa mara ambao ndio huitaji wenyewe.

Lakini ipo dawa yakuweza kuondoa kabisa tatizo hilo la homosexual disorder inaitwa homofin
 
Nimependa mchango wako, ila umeniacha gizan mahali... kuka "eda" ndio kukaa wapi huko mkuu?

Sisi wa imani tofauti kidogo tunapata shida kuelewa hapo.
Eda ni muda maalum anaokaa mwanamke aliefiwa na mumewe ambao ni miezi minne na siku kumi na huambatana na baadhi ya masharti ikiwemo kuvaa nguo zenye rangi moja zisizo na malembo,kupakaa manukato,kutokuolewa kwa muda huo ndio inaitwa eda
 
Mada nyingine sijui mnatoaga wapi
Kwa nini wasilete mada zenye manufaa kama namna gani tutaboresha vipato vyetu kiafya ili tujadili hapa? mambo ya kishoga shoga tuu, acheni hizooooo
 
Kwa nini wasilete mada zenye manufaa kama namna gani tutaboresha vipato vyetu kiafya ili tujadili hapa? mambo ya kishoga shoga tuu, acheni hizooooo
mkuu hili jukwaa huru ww kama unaona hazikufai si usepe tuu wanaume wengine bhana ndiyo maana tunawazibuaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…