Mrejesho: Madhara ya kumwagiwa shahawa

Mrejesho: Madhara ya kumwagiwa shahawa

Ndio maana mungu akasema tusikaribie wala kufanya zinaa kwani ni uchafu kitaalam mwanamke ndiye anaetengeneza magonjwa ya zinaa kwani sehemu nyeti zake huifadhi shahawa hivyo zikikutana shaha wa za aina tofauti hukinzana na kusababisha bacteria ambao hutengeneza ugonjwa ndio maana uislam humtaka mwanamke kukaa eda mumewe anapofariki ili zile shahawa zilizohifadhiwa ziharibike na akiolewa tena aifadhi zingine mpya hivyo kutokuwa na mwingiliano na kusababisha ugonjwa
Umetumia uelewa wako wa dini ama kitaabibu kuandika hii comment?
 
Huyo mtaalam wa afya alokupa huo mlejesho kna haja ya kukagua vyet vyake
 
Kuna mada niliiweka hapa siku kadhaa zimepita, nilihoji ni kwanini punde tu mtu akianza mapenzi huwa anabadilika?

1. Kwa nini mwanaume rijali kabisa ikitokea kwa bahati mbaya au kwa kutaka yeye aingiliwe kinyume- hata awe baunsa vipi lakini punde tu akimwagiwa "sperm" akili huanza kubadilika na kuwa mapozi ya kike?

2. Kwa nini binti akiwa bado kigori huwa ni shupavu na saa nyingine huaminika sana na wazazi na waweza mtuma mambo makubwa akayafanya kwa kujiamini tena huwa na nguvu lakini punde akianza kumwagiwa huu "ugirigiri" mtoto huwa hakamatiki tena?

3. Naendelea kuuliza kwa nini mtu akilawitiwa hulazimika kupigwa bomba hospitali (kusafishwa)?

4. Bado nahoji kwa nini wanawake wengi wakianza mapenzi hulegea na saa nyingine hata maamuzi ya kuvuka barabara kwao huwa ni kama watoto yaani waweza kumpigia honi apishe njia lakini utashangaa badala ya kusogea tu yeye atatoka kulia pembezoni avuke kuja kushoto Mara arudi yaani kama watoto " hiihuanza punde tu akianza kumwagiwa note! Si wote lakini asilimia kubwa!

5. Kwanini ma shoga ni vigumu sana kuachana na tabia hiyo wakianza?

MREJESHO!!
Moja ya Maelezo kutoka Kwa mtaalamu wa afya ya binadamu ameniambia kwamba shahawa hukusanywa na kuhifadhiwa kwenye kifuko maalumu ndani ya mfumo wa uzazi wa mwanaume, kifuko hicho hutunza shahawa kwa kiwango maalum cha joto, pia kasema endapo shahawa zikimwagwa ukeni au zikimwingia binadamu yeyote iwe kwenye njia sahihi au kinyume, kutokana na kupotea Kwa kiwango cha joto na majimaji yanazo zitunza, Basi shahawa hizo Huoza haraka, na kuanza kuwasha, hivyo humfanya aliyemwagiwa kutamani kukunwa tena na tena. Na ndiyo maana watu hawakamatiki wakishaanza mchezo huo,
Naomba kuwasilisha Wadau, KARIBUNI.

Kumbe kuwa watu hawana cha kufanya...Wangekuwa nacho wasingepoteza muda kuja na mada mfano wa hii...sijui ina tija gani kwake na kwa watu wanaotaka waisome!
 
Sio Zinajaa matakoni kwa wanawake
Hazijai mkuu Bali kwa vile ni protein in nature zingine zinatumika kama virutubisho kujenga mwili zingne zinatolewa ..

Angalizo:
Sio kila anayemwagiwa zinamnawirisha kuna wengine zinawakataa
 
Ndio maana mungu akasema tusikaribie wala kufanya zinaa kwani ni uchafu kitaalam mwanamke ndiye anaetengeneza magonjwa ya zinaa kwani sehemu nyeti zake huifadhi shahawa hivyo zikikutana shaha wa za aina tofauti hukinzana na kusababisha bacteria ambao hutengeneza ugonjwa ndio maana uislam humtaka mwanamke kukaa eda mumewe anapofariki ili zile shahawa zilizohifadhiwa ziharibike na akiolewa tena aifadhi zingine mpya hivyo kutokuwa na mwingiliano na kusababisha ugonjwa
Nimependa mchango wako, ila umeniacha gizan mahali... kuka "eda" ndio kukaa wapi huko mkuu?

Sisi wa imani tofauti kidogo tunapata shida kuelewa hapo.
 
Sio Zinajaa matakoni kwa wanawake
Alivyosema mtoa mada ni sahihi..
Kuna siku nimewahi kupiga story na mchizi mmoja ambae ni gay tangu mwaka 2008. Aliniambia the same thing, ukishafanya mara moja tu huwezi ukaacha manii huwa zinaoza zikishapita siku tatu baada ya tendo na zinatolewa nje kwa njia ya kinyesi, lakini sio kwamba zinatoka zote.... kuna zingine zinabaki kama mucus na hizo upelekea mwili kuadapt na kujikuta unatamani kufanya tena, na kadri unavyofanya mara nyingi ndivyo hata hizo mucus zinazidi kuwa nyingi na kusababisha muwasho wa mara kwa mara ambao ndio huitaji wenyewe.

Lakini ipo dawa yakuweza kuondoa kabisa tatizo hilo la homosexual disorder inaitwa homofin
 
Nimependa mchango wako, ila umeniacha gizan mahali... kuka "eda" ndio kukaa wapi huko mkuu?

Sisi wa imani tofauti kidogo tunapata shida kuelewa hapo.
Eda ni muda maalum anaokaa mwanamke aliefiwa na mumewe ambao ni miezi minne na siku kumi na huambatana na baadhi ya masharti ikiwemo kuvaa nguo zenye rangi moja zisizo na malembo,kupakaa manukato,kutokuolewa kwa muda huo ndio inaitwa eda
 
Back
Top Bottom