Mrejesho: Maisha hua na mwanzo..!!

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
917
Reaction score
2,217
Nakumbuka niliwah kuleta thread nkiomba ushauri kuhusu kupanga....maana nilikuwa nafanya biashara stil nikiwa home maana ndo kwanza nilitoka chuo....sikuwa na ajira ndo nkaamua kujiajiri kwa biashara ya duka la reja reja

Uamuzi huu niliufikiria tangu mwaka jana..na nilihitaji kwanza biashara isimame ndipo nipange chumba

Nashukuru Mungu nilipokea maoni mengi mazuri...japo wengine walidhihaki ila sio mbaya..tupo hapa kujifunza

Nilichofanya kwanza nilipiga hesabu how ntapata pesa...maana kupanga inabd uwe na access ya kupata pesa ya kodi

Nikachunguza projects za kuweka huduma ya kuunganisha namba za tigo kuwa ya chuo

Pia nkaongeza huduma za kutoa hela kwa mitandao ya tigo...voda na airtel kupitia kampuni za mobistock na selcom

Nikafanya mpango pia wa kusajili airtel ili niingie kwenye mchongo wa airtel timiza akiba(hapa unaweka pesa kwenye akaunt ya timiza akiba...unaweka pesa kwa muda wa mwezi mzima bila kuitoa...ukija kuitoa baada ya mwezi wanakupa mara mbili ya pesa uloweka)

Baada ya hapo nikaongeza charger na kobe kwa ajili ya kchajisha sim kw 200/=

Baada ya kpiga hesab na kuona hzo project zna uhakikawa kunipa pesa ndipo wiki ilopita nikahamia kwenye maisha ya kujitegemea(maana baadh ya vitu nlishajipanga)

Niliingia kupanga nikitegemea ntapokea changamoto kwenye biashara...lakini imekuwa tofauti

Pesa mzunguko upo vizuri zaidi ya mwanzo...!!hela napata na inatosha kuliko kawaida

Kwa hli kwakweli namshukuru Mungu...!!

Pia napenda kuwaambia vijana wenzangu....tufanye kazi....tuweke mapenzi pembeni....wanawake tuewaweke nyuma....malengo tuyaweke mbele

Tukishazipata hko mbele na ukahisi kuwa sasa naweza kuweka upenyo kidogo wa mambo mengne ndpo uanze kuruhusu mtu aitwaye mpenz kuingia...(Neno langu sio sheria)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Pamoja mkuuu, mbunye hurudisha nyuma sana maendeleo kwa wenyepesa za kidunduliza. Mimi nimejikuta narumbana sana na watoto wa kike, kwan nikiwatongoza napata mzigo, ila kama unavyojua watoto wa kike pesa mbele ndipo nilipoona bore nikae kimya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja mkuuu, mbunye hurudisha nyuma sana maendeleo kwa wenyepesa za kidunduliza. Mimi nimejikuta narumbana sana na watoto wa kike, kwan nikiwatongoza napata mzigo, ila kama unavyojua watoto wa kike pesa mbele ndipo nilipoona bore nikae kimya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwaweka mapenzi pemben na kutafta pesa kwa kila hali....mafanikio lazima uyaone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ebu ifafanue vizuri hyo Airtel timiza itasaidia vijana wengi humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…