- Je mzigo ulinunua mtandao gani? Maana ni muda mrefu sana umepita, kawaida ilitakiwa uwe umepata mzigo wako ndani ya siku 21 hadi 35 kwa izigo inayochelewa.Mkuu nina mzigo nimeagiza toka December nikapewa hiyo tracking number cha ajabu sijaupata naweza kuangaliaje nijue ulipo?
Fungua personal account kwa hii linkNipeni msaada wa kujiunga Ebay
Nilitumia ebay wakanipa tracking P000008090577- Je mzigo ulinunua mtandao gani? Maana ni muda mrefu sana umepita, kawaida ilitakiwa uwe umepata mzigo wako ndani ya siku 21 hadi 35 kwa izigo inayochelewa.
Tumia tracking number kwenye moja ya hizi link
Mkuu ya kwangu nimeweka wamenambia this card is not accepted use another card sijui kwa nini labda kesho niwasiliane na watu wa bankZinakubali mkuu
Standard international shippingCourier ni nani?
tax clearence inafanyikaje pia mbona nilisikia ebay hawaship tanzaniaUkatumwa tarehe 16 na leo umefika..
NILICHOJIFUNZA
1. Wakati mwingine woga wetu ndio unaotufanya kuwa nyuma kimaendeleo.. Dunia ya sasa imekua kijiji unaweza pata bidhaa yeyote toka ulimwengu wowotena kwa bei rahisi cha msingi ni kutumia njia sahihi wakati wa manunuzi..
2. Wizi wa pesa kwenye acount.. Kuna wakati nilikua na wasi wasi kwamba uenda jamaa wangenipiga ela zangu kwenye acount.. Hii si kweli jamaa wa ebay wapo makini sana hasa hasa ukiwa na acount ya paypal yani chagua bidhaa ebay lakini lipa kwa kutumia paypal..
Kuna jamaa mmoja alikweka bidhaa kiwizi wizi nikainunua jamaa wa paypal walipogundua wakamblock jamaa na fedha zangu zikarudishwa kwenye acount yangu.. Haijalishi ni kiasi gani kitarudishwa..
View attachment 489334
KUHUSU ZIP CODE NA POSTAL CODE
Hizi zisiwasumbue.. Andika detail zako za nchi, mkoa na wilaya, na code yetu pendwa ya +255 plus jina lako kamili trust me mzigo wako utafikishwa posta kuu ya mkoa wako na watu wa posta watakupigia simu uufate mzigo wako mara unapofika.. Hasa wakituma kwa register.. Usiandike P. O. BOX kwani wengine huwa hawataki mtu atumie P. O. Box.
2. Kuna vingine vingi ambavyo ukiwa interested unaweza jifunza cha msingi tuache woga.
Anayeship siyo ebay.. Ni wauzaji wanaouza bidhaa zao hapo ebay.. Ebay ni platform inayowaunganisha wauzaji na wanunuaji wa bidhaa...tax clearence inafanyikaje pia mbona nilisikia ebay hawaship tanzania
Nilitumia ebay wakanipa tracking P000008090577
Shukrani mkuu kwa majibu mujarabu...View attachment 494868
- Mzigo wako umefika tangu tarehe: 06 Feb. 2017
- Courier wa mzigo wako alikuwa: 4PX Track
- Courier website husika ni: 4PX Worldwide Express
- Ni jukumu lako kufuatilia mzigo huenda ukaupata
- Kwa usaidizzi wa KUNUNULIWA bidhaa na KUSAFIRISHIWA bidhaa PITIA hii thread www.v.ht/buy4me li kujifunza zaidi
ok tax clearence inafanyikaje mkuuAnayeship siyo ebay.. Ni wauzaji wanaouza bidhaa zao hapo ebay.. Ebay ni platform inayowaunganisha wauzaji na wanunuaji wa bidhaa...
Ndani ya ebay kuna wauzaji wanaofanya international shipping wengine hawafanyi na wanaeleza wazi...
tax clearencetax clearence inafanyikaje pia mbona nilisikia ebay hawaship tanzania
maybe you don't have enough balanceMkuu ya kwangu nimeweka wamenambia this card is not accepted use another card sijui kwa nini labda kesho niwasiliane na watu wa bank
upon arrival of your parcel kwenye post yako utamkuta mtu wa TRAok tax clearence inafanyikaje mkuu