Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

Hivi kadi za nmb hazikubali huko ebay maana kila nikiingiza kadi number na security code naambiwa zimekosewa wakati nimehakiki zaidi ya mara tano
 
tax clearence inafanyikaje pia mbona nilisikia ebay hawaship tanzania
 
Ukatumwa tarehe 16 na leo umefika..
NILICHOJIFUNZA
1. Wakati mwingine woga wetu ndio unaotufanya kuwa nyuma kimaendeleo.. Dunia ya sasa imekua kijiji unaweza pata bidhaa yeyote toka ulimwengu wowotena kwa bei rahisi cha msingi ni kutumia njia sahihi wakati wa manunuzi..
2. Wizi wa pesa kwenye acount.. Kuna wakati nilikua na wasi wasi kwamba uenda jamaa wangenipiga ela zangu kwenye acount.. Hii si kweli jamaa wa ebay wapo makini sana hasa hasa ukiwa na acount ya paypal yani chagua bidhaa ebay lakini lipa kwa kutumia paypal..
Kuna jamaa mmoja alikweka bidhaa kiwizi wizi nikainunua jamaa wa paypal walipogundua wakamblock jamaa na fedha zangu zikarudishwa kwenye acount yangu.. Haijalishi ni kiasi gani kitarudishwa..
View attachment 489334
KUHUSU ZIP CODE NA POSTAL CODE
Hizi zisiwasumbue.. Andika detail zako za nchi, mkoa na wilaya, na code yetu pendwa ya +255 plus jina lako kamili trust me mzigo wako utafikishwa posta kuu ya mkoa wako na watu wa posta watakupigia simu uufate mzigo wako mara unapofika.. Hasa wakituma kwa register.. Usiandike P. O. BOX kwani wengine huwa hawataki mtu atumie P. O. Box.
2. Kuna vingine vingi ambavyo ukiwa interested unaweza jifunza cha msingi tuache woga.
tax clearence inafanyikaje pia mbona nilisikia ebay hawaship tanzania
 
tax clearence inafanyikaje pia mbona nilisikia ebay hawaship tanzania
Anayeship siyo ebay.. Ni wauzaji wanaouza bidhaa zao hapo ebay.. Ebay ni platform inayowaunganisha wauzaji na wanunuaji wa bidhaa...
Ndani ya ebay kuna wauzaji wanaofanya international shipping wengine hawafanyi na wanaeleza wazi...
 
Nilitumia ebay wakanipa tracking P000008090577
  • Mzigo wako umefika tangu tarehe: 06 Feb. 2017
  • Courier wa mzigo wako alikuwa: 4PX Track
  • Courier website husika ni: 4PX Worldwide Express
  • Ni jukumu lako kufuatilia mzigo huenda ukaupata
  • Kwa usaidizzi wa KUNUNULIWA bidhaa na KUSAFIRISHIWA bidhaa PITIA hii thread www.v.ht/buy4me li kujifunza zaidi
upload_2017-4-12_19-14-32.png
 
Anayeship siyo ebay.. Ni wauzaji wanaouza bidhaa zao hapo ebay.. Ebay ni platform inayowaunganisha wauzaji na wanunuaji wa bidhaa...
Ndani ya ebay kuna wauzaji wanaofanya international shipping wengine hawafanyi na wanaeleza wazi...
ok tax clearence inafanyikaje mkuu
 
tax clearence inafanyikaje pia mbona nilisikia ebay hawaship tanzania
tax clearence
- Assesment ya kodi hufanyika nchini baada ya kuwa mzigo umefika na umekaguliwa namamlaka husika, na courier wako ndio anawajibika kufuatilia, wewe utapewa ghalama unayotakiwa kulipia tu.
- Kupata mwanga kidogo jinsi kadi wana kokotoa kodi ingia hapa: Kukatwa kodi kwa mizigo
upload_2017-4-12_19-26-43.png

ebay hawaship tanzania?
- Ebay wapo wauzaji ambao hawatumi bidhaa kuja tanzania, na pia wapo wengine wanaotuma kuja tanzania
- Nini cha kufanya: Pindi unapokagua bidhaa husika hakikisha unaangalia pia kipengele cha shipping & payment
upload_2017-4-12_19-23-33.png
 
Back
Top Bottom