Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

Zinafika ila uhakika sio mzuri kama kwa ulaya na marekani. Ebay na Amazon ni kama kupatana tu, hawatoi huduma za shipping Afrika, so your own risk.
Kuna zile shadow address za US;
Yaani unaingia kwenye site ya Post Office unafanya registration ya Account na unalipia kidogo....

So ukinunua vitu Marekani na Ulaya unatumia hiyo Address vitu vikifika hapo then wale watu wa Posta wanakutumia Africa

Nimeona watu wengi wanafanya hivyo japo sijajaribu.
Nina mpango wa kufanya hivyo maana vitu vya Ulaya na Marekani ninazikubali zaidi quality zake
 
Hawakukupa track number?
 
Nafikiri kuna mdau humu anafanya hzo mishe anaitwa mwalimu
 
Najua yote hayo, ila issue ya kutapeliwa ni halisi.
 
Kama vinakufikia haina shida.. Kuna seller wengine hawataki kabisa kusikia mambo ya P. O. Box so hiyo code ndo unaweza tumia
 
M nmtumiaji mzr wa ebay, nmekuwa nikaagiza vitu vingi vinafika salama kabisa, na vispofika uki compalin wana ku refund fasta ishanitokea, hofu ilikuja pale nlipoa kuwa napigiwa simu toka Uingereza, na India wakidai ni ma managers wa Baclays wakitaka kujua kama kweli account n yangu, na hii ilikuwa iktokea pale na potaka kfanya malipo, either unakuta acount ina pesa kidogo au kwenye loggin ya Pay pal.
 
kufungua account ya paypall inakuaje process na gharama,mm mwenyewe nimeona n ushenzi kila siku nataman niagizie ila nimekua naogopa
 
soo key diff ya email from hacke na ya from ebay n nn?
 
kufungua account ya paypall inakuaje process na gharama,mm mwenyewe nimeona n ushenzi kila siku nataman niagizie ila nimekua naogopa
Ni free.. But kuwa makini hakikisha unafungua acount kwenye official site ya paypal.. Siyo kila site yenye neno paypal au ebay ni official..
 
Mkuu napata ugumu kufungua paypal kwa hapa tz...nafanyaje tafadhali
 
Ukitaleliwa ela yako inarudishwa kwenye acount.. Kwa ebay seller hapewi ela yake mpaka bidhaa imfikie buyer... Hasa ukitumia paypal.. Angalia huko juu mm nilirudishiwa dola tano.. Baada ya seller kuiondoa bidhaa sokoni wakat mm nmeshalipia..
kwa dhana hii nimeanza kuwaamin ebay, ya km kumbe seller hapew hela mpk wewe mzigo uupate, bigup sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…