Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

Address yako uliandikaje share hapa ili watu wapate vionjo tofauti.. Mimi niliitwa posta kuu
Kuna dada nilikuwa najuana nae pale Knyama, So nilichofanya niliandika jina langu na namba yangu ya simu KNY jina lake na address ya pale posta ya Knyama

Mzigo ulifika na uyo sister akanipigia simu, nilivoenda sikutoa hata Tsh kumi
 
CPU ilifika ukaitwa ukachukue K'nyama ukaenda ukapewa. Sasa mbona huamini Posta wakati mzigo ulipata?
Mkuu umekuwa na haraka sana ya kutaka kuijibu post yangu

Ni hivi mimi niliagiza electronics devices ambazo jamaa walikuwa hawavielewi, Lets say microCPU jamaa wataichukua wataenda kutumia wapi na mimi nilikua nimenunua kwa ajili ya project yangu.

N:B kuna jamaa yangu mmoja aliagizia saa ya rolex... mbona aliisikia kwenye bomba (hakuipata)

Sasa wewe hebu jaribu kuagizia vitu vinavyojulikana vyenye thaman halafu tuone kama tutawaamini au lah
 
Mie ninalo box pale Iringa mjini opp Crdb. Mizigo yangu ikifika natumiwa SMS naenda kufuata mzigo.
Tatizo ni customs dept. Charges kwa mizigo yenye USD 200 kwenda juu anataka nilipe custom collection.
 
Pamoja hata mimi niliagiza saa ya hd watch spy wrist lakini ilichelewa kufika mpaka nikahisi nimepigwa tyr
 
Mzigo ukishafika kuna malipo mengine posta? Mkuu Naomba uni PM namba zako, siku nahitaji hii fursa.
 
Mi nafanya sana manunuzi eBay hakuna siku nimepoteza hata mia ila kwa usalama zaid jiunge na PayPal ili wakusaidie ikitokea tatizo urejeshewe fedha zako.
 
Mie ninalo box pale Iringa mjini opp Crdb. Mizigo yangu ikifika natumiwa SMS naenda kufuata mzigo.
Tatizo ni customs dept. Charges kwa mizigo yenye USD 200 kwenda juu anataka nilipe custom collection.
mkuu wew unaduka hapo ipogor
 
kuna nyuzi nyingi hapa zakuagiza mizigo nje nashaur wanaotaka wajifunze ni vizur wakapitia nyuzi zilizo pita maswali yote yanayoendelea kuulizwa hapa majibu yote.yapo kwa nyuzi.zilizopita otherwis tuanzishe group kwa kupeana update zote na changamoto za.kuagiza mizigo kama lile.group.lililoanzishw miaka iliyopita kama bado lipo mtuadd.wangine ambao hatukupata nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…