ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Haaaaasijashuka mda huko wakaz wengi wa huko wanapendelea ulanzi.sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaasijashuka mda huko wakaz wengi wa huko wanapendelea ulanzi.sana
Wiseboy naomba nikapige mkuu. Ni PM namba yako ikiwa una airtel nitashukuru sana.mkuu avatar yako huwa inanisisimua Sana, huyo mwenye pingu pamoja na hilo njemba la miraba likilia ni nani hao?
Suma naomba Nieleweshe mfano nimeagiza mzigo wa milioni 1, TRA wanakata sh ngapi. Na posta au compuni inakataa sh ngapi?Pamoja hata mimi niliagiza saa ya hd watch spy wrist lakini ilichelewa kufika mpaka nikahisi nimepigwa tyr
Suma naomba Nieleweshe mfano nimeagiza mzigo wa milioni 1, TRA wanakata sh ngapi. Na posta au compuni inakataa sh ngapi?
Suma naomba Nieleweshe mfano nimeagiza mzigo wa milioni 1, TRA wanakata sh ngapi. Na posta au compuni inakataa sh ngapi?
Poa Suma. NtakuchekiIla ntakuulizia zaid mzigo wangu soon unakuja niwe na uhakika zaid
Saa ulinunua bei gani
Peace ngapi?Saa nilinunua dola 32
Peace ngapi?
Hata kama kadi yako ni visa crdbUkatumwa tarehe 16 na leo umefika..
NILICHOJIFUNZA
1. Wakati mwingine woga wetu ndio unaotufanya kuwa nyuma kimaendeleo.. Dunia ya sasa imekua kijiji unaweza pata bidhaa yeyote toka ulimwengu wowotena kwa bei rahisi cha msingi ni kutumia njia sahihi wakati wa manunuzi..
2. Wizi wa pesa kwenye acount.. Kuna wakati nilikua na wasi wasi kwamba uenda jamaa wangenipiga ela zangu kwenye acount.. Hii si kweli jamaa wa ebay wapo makini sana hasa hasa ukiwa na acount ya paypal yani chagua bidhaa ebay lakini lipa kwa kutumia paypal..
Kuna jamaa mmoja alikweka bidhaa kiwizi wizi nikainunua jamaa wa paypal walipogundua wakamblock jamaa na fedha zangu zikarudishwa kwenye acount yangu.. Haijalishi ni kiasi gani kitarudishwa..
View attachment 489334
KUHUSU ZIP CODE NA POSTAL CODE
Hizi zisiwasumbue.. Andika detail zako za nchi, mkoa na wilaya, na code yetu pendwa ya +255 plus jina lako kamili trust me mzigo wako utafikishwa posta kuu ya mkoa wako na watu wa posta watakupigia simu uufate mzigo wako mara unapofika.. Hasa wakituma kwa register.. Usiandike P. O. BOX kwani wengine huwa hawataki mtu atumie P. O. Box.
2. Kuna vingine vingi ambavyo ukiwa interested unaweza jifunza cha msingi tuache woga.
mkuu kna mzigo nimeagiza lakini natumia Aliexpress kwenye tracking unaonesha mzigo ushafika dodoma tangu juzi lakin cjapigiwa simu na watu wa posta vipi naweza kwenda posta kuclaim au nisubir mpaka nipigiwe simu?Ukatumwa tarehe 16 na leo umefika..
NILICHOJIFUNZA
1. Wakati mwingine woga wetu ndio unaotufanya kuwa nyuma kimaendeleo.. Dunia ya sasa imekua kijiji unaweza pata bidhaa yeyote toka ulimwengu wowotena kwa bei rahisi cha msingi ni kutumia njia sahihi wakati wa manunuzi..
2. Wizi wa pesa kwenye acount.. Kuna wakati nilikua na wasi wasi kwamba uenda jamaa wangenipiga ela zangu kwenye acount.. Hii si kweli jamaa wa ebay wapo makini sana hasa hasa ukiwa na acount ya paypal yani chagua bidhaa ebay lakini lipa kwa kutumia paypal..
Kuna jamaa mmoja alikweka bidhaa kiwizi wizi nikainunua jamaa wa paypal walipogundua wakamblock jamaa na fedha zangu zikarudishwa kwenye acount yangu.. Haijalishi ni kiasi gani kitarudishwa..
View attachment 489334
KUHUSU ZIP CODE NA POSTAL CODE
Hizi zisiwasumbue.. Andika detail zako za nchi, mkoa na wilaya, na code yetu pendwa ya +255 plus jina lako kamili trust me mzigo wako utafikishwa posta kuu ya mkoa wako na watu wa posta watakupigia simu uufate mzigo wako mara unapofika.. Hasa wakituma kwa register.. Usiandike P. O. BOX kwani wengine huwa hawataki mtu atumie P. O. Box.
2. Kuna vingine vingi ambavyo ukiwa interested unaweza jifunza cha msingi tuache woga.
Ata ukienda siyo mbaya... Watakuangalizia kwenye system zao... But sometimes clearance ya mizigo ndiyo husababisha mtu kucheleweshewa mizigo.. Coz inakuja mizigo mingi... Sasa mpaka waiweke sawa na wakajua huo ni mzigo wako inachukua muda.. Tho unawezz wapa mwaka mda kidogo siku mbili tatu uwasikilizie..mkuu kna mzigo nimeagiza lakini natumia Aliexpress kwenye tracking unaonesha mzigo ushafika dodoma tangu juzi lakin cjapigiwa simu na watu wa posta vipi naweza kwenda posta kuclaim au nisubir mpaka nipigiwe simu?
Address ya US uliyotumia ni ipi au hakuna haja maana yasemekana ebay na amazon hawatumi mizigo africa moja kwa moja na je, ulilipia shipping kutoka kwa seller kwenda kwa hao forwaders ?Ata ukienda siyo mbaya... Watakuangalizia kwenye system zao... But sometimes clearance ya mizigo ndiyo husababisha mtu kucheleweshewa mizigo.. Coz inakuja mizigo mingi... Sasa mpaka waiweke sawa na wakajua huo ni mzigo wako inachukua muda.. Tho unawezz wapa mwaka mda kidogo siku mbili tatu uwasikilizie..
Dola 1..kuna mingine wanafanya free shipingAddress ya US uliyotumia ni ipi au hakuna haja maana yasemekana ebay na amazon hawatumi mizigo africa moja kwa moja na je, ulilipia shipping kutoka kwa seller kwenda kwa hao forwaders ?
Ni address gani ulitumia au MyUS ?Dola 1..kuna mingine wanafanya free shiping