Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

mkuu avatar yako huwa inanisisimua Sana, huyo mwenye pingu pamoja na hilo njemba la miraba likilia ni nani hao?
Wiseboy naomba nikapige mkuu. Ni PM namba yako ikiwa una airtel nitashukuru sana.
 
Pamoja hata mimi niliagiza saa ya hd watch spy wrist lakini ilichelewa kufika mpaka nikahisi nimepigwa tyr
Suma naomba Nieleweshe mfano nimeagiza mzigo wa milioni 1, TRA wanakata sh ngapi. Na posta au compuni inakataa sh ngapi?
 
Suma naomba Nieleweshe mfano nimeagiza mzigo wa milioni 1, TRA wanakata sh ngapi. Na posta au compuni inakataa sh ngapi?

Unapgiwa hesab mm niliona posta walipima kwa kilo so wakanitoza 30000 ya kodi as tra tax
 
Suma naomba Nieleweshe mfano nimeagiza mzigo wa milioni 1, TRA wanakata sh ngapi. Na posta au compuni inakataa sh ngapi?

Ila ntakuulizia zaid mzigo wangu soon unakuja niwe na uhakika zaid
 
Nitakuwa wa mwisho kununua vitu kwenye Haya makitu maana kila siku technoligia inapanuka na hackers wanajiimarisha sana. Nimefuatilia huu Uzi. Nimegundua usalama upo kwenye pesa zako. Mkinunua mlete mrejesho
 
Hata kama kadi yako ni visa crdb
 
Mi nataka kujua vp kama account yangu ina tsh n wao huuza kwa usdollars vp wanaconvert wao au mimi
 
Mi nataka kujua vp kama account yangu ina tsh n wao huuza kwa usdollars vp wanaconvert wao au mimi
Inakatwa kulingana na exchange rate... Mfano ukienda china na master kadi yako ukatoa ela ATM unafikiri zitatoka TSHs.?
 
mkuu kna mzigo nimeagiza lakini natumia Aliexpress kwenye tracking unaonesha mzigo ushafika dodoma tangu juzi lakin cjapigiwa simu na watu wa posta vipi naweza kwenda posta kuclaim au nisubir mpaka nipigiwe simu?
 
Ata ukienda siyo mbaya... Watakuangalizia kwenye system zao... But sometimes clearance ya mizigo ndiyo husababisha mtu kucheleweshewa mizigo.. Coz inakuja mizigo mingi... Sasa mpaka waiweke sawa na wakajua huo ni mzigo wako inachukua muda.. Tho unawezz wapa mwaka mda kidogo siku mbili tatu uwasikilizie..
 
Address ya US uliyotumia ni ipi au hakuna haja maana yasemekana ebay na amazon hawatumi mizigo africa moja kwa moja na je, ulilipia shipping kutoka kwa seller kwenda kwa hao forwaders ?
 
Address ya US uliyotumia ni ipi au hakuna haja maana yasemekana ebay na amazon hawatumi mizigo africa moja kwa moja na je, ulilipia shipping kutoka kwa seller kwenda kwa hao forwaders ?
Dola 1..kuna mingine wanafanya free shiping
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…