Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama kutapeliwa popote unatapeliwa acha mambo ya ajabu.Najua yote hayo, ila issue ya kutapeliwa ni halisi.
Tatizo ndugu yangu uaminifu wa watu wa hapa POSTA za kwetu, kwanza kumbuka mzigo ukifika pale lazima waufungue wajue kama umetumiwa bomu au nini... Sasa picha linaanza watakapokuta digital camera nzuriii au iphone 7 iko pale hiivii... uwo mzigo utapoteaUkatumwa tarehe 16 na leo umefika..
NILICHOJIFUNZA
1. Wakati mwingine woga wetu ndio unaotufanya kuwa nyuma kimaendeleo.. Dunia ya sasa imekua kijiji unaweza pata bidhaa yeyote toka ulimwengu wowotena kwa bei rahisi cha msingi ni kutumia njia sahihi wakati wa manunuzi..
2. Wizi wa pesa kwenye acount.. Kuna wakati nilikua na wasi wasi kwamba uenda jamaa wangenipiga ela zangu kwenye acount.. Hii si kweli jamaa wa ebay wapo makini sana hasa hasa ukiwa na acount ya paypal yani chagua bidhaa ebay lakini lipa kwa kutumia paypal..
Kuna jamaa mmoja alikweka bidhaa kiwizi wizi nikainunua jamaa wa paypal walipogundua wakamblock jamaa na fedha zangu zikarudishwa kwenye acount yangu.. Haijalishi ni kiasi gani kitarudishwa..
View attachment 489334
KUHUSU ZIP CODE NA POSTAL CODE
Hizi zisiwasumbue.. Andika detail zako za nchi, mkoa na wilaya, na code yetu pendwa ya +255 plus jina lako kamili trust me mzigo wako utafikishwa posta kuu ya mkoa wako na watu wa posta watakupigia simu uufate mzigo wako mara unapofika.. Hasa wakituma kwa register.. Usiandike P. O. BOX kwani wengine huwa hawataki mtu atumie P. O. Box.
2. Kuna vingine vingi ambavyo ukiwa interested unaweza jifunza cha msingi tuache woga.
Kuna restriction kali sana wanapewa wauzaji wa bidhaa ikiwemo evidence na deliverance ya bidhaa kwa mnunuaji..Tatizo ndugu yangu uaminifu wa watu wa hapa POSTA za kwetu, kwanza kumbuka mzigo ukifika pale lazima waufungue wajue kama umetumiwa bomu au nini... Sasa picha linaanza watakapokuta digital camera nzuriii au iphone 7 iko pale hiivii... uwo mzigo utapotea
Mimi nilishawai kununua Vifaa Vya Electronics mf. MicroCPU, Capacitors, Sensors jamaa wa Kjitonyama pale wakanipigia simu nikachukue
Sasa agizi digital camera au iphone7 huone kama utapigiwa simu.
Mkuu wewe uliagizia nini ukapata? Labda unaweza ukaongeza imani yao
bora umemchana! ana distort uzi sana!Mkuu kama kutapeliwa popote unatapeliwa acha mambo ya ajabu.
Mbona hapa hapa mjini watu bado wanatapeliwa.
Hizo ni nambs za mastercard au VISA card ..zinapatikana nyuma ya kadi (CSC-CREDITCARD SECURITY CODE, CARD VERIFICATION CODE-CVC, CARD CODE VERIFICATION-CCV) ni maneno tofauti lakini yanamaana sawa.. ni additional info zinazowezesha katika utambuzi wa kadi hako na zinahakikisha kwamba manunuzi yanayofanyika yamefanywa na muhusika wa kadi.. Ata kama mtu atakuibia au ataguess number ya kadi siyo rahisi kuguess hadi CSV yako.. Hasa kwa wale wazee wa kuguess number...bora umemchana! ana distort uzi sana!
Mkuu Mr. MTUI nakuelewa sana, ila nilipofikia kufungua akaunti ya PAYPAL kuna sehemu ya kujaza imeandikwa CSC/CVC, naweka kitu gani hapo!
Asante sana mkuu, naleta mrejesho sasa hivi!Hizo ni nambs za mastercard yako..
Za nyuma (CSC-CREDITCARD SECURITY CODE, CARD VERIFICATION CODE-CVC)
La Protection des Achats - PayPal FranceTatizo ndugu yangu uaminifu wa watu wa hapa POSTA za kwetu, kwanza kumbuka mzigo ukifika pale lazima waufungue wajue kama umetumiwa bomu au nini... Sasa picha linaanza watakapokuta digital camera nzuriii au iphone 7 iko pale hiivii... uwo mzigo utapotea
Mimi nilishawai kununua Vifaa Vya Electronics mf. MicroCPU, Capacitors, Sensors jamaa wa Kjitonyama pale wakanipigia simu nikachukue
Sasa agizi digital camera au iphone7 huone kama utapigiwa simu.
Mkuu wewe uliagizia nini ukapata? Labda unaweza ukaongeza imani yao
Ukiwa na anuani ya Posta sio vibaya ukiandika. Ni vyema sana ukiandika namba ya simu jamaa Wa Post office watapiga au kutuma SMS.Kwahiyo hakuna haja ya kuwa na PO BOX HATA KAMA MZIGO WAKO UTASAFIRISHWA KWA POSTA ?
+255 sio Zip code. Mr Mtui Ukiandika p.o.box haina tatizo. Kitu muhimu weka mobile number na mji. Watu wa Posta wana orodha ya miji Tanzania nzima.Yah... Wengine hawataki kabisa mambo ya p. O. Box.. Andika nchi na mkoa na wilaya.. Na ile zip ckde +255 mzigo unafika.
Mfano: Unaitwa Mkaruka Mabhai.UNAFIKA WAPI NA UTAJUAJE AU NITATAKIWA KUANDIKA NAMBA YA SIMU BADALA YA PO BOX ?
Acha uogaSiku mkitapeliwa ndo mtapqta akili, bora mnunue bidhaa bongo tu.
Wanaogopa customs declaration. Ukiweka p.o box watu Wa customs wanakagua. Unajua customs wana ofc post office.Kama vinakufikia haina shida.. Kuna seller wengine hawataki kabisa kusikia mambo ya P. O. Box so hiyo code ndo unaweza tumia
Ndio. Mfano nipo Iringa. Naandika mobile number then Iringa. Mzigo unafika.Mkuu unamaanisha hata kama nipo mkoani mzigo unakuja kwenye posta ya mkoa wangu ???
Namba yako ya simu utaiandika wakati wa kufungua acount.. Ebay watampa seller wa bidhaa yako pale mtakapoingia makubaliano ya kuuziana.. Na Itajitokeza kwenye kila manunuzi utakayofanya... Hairuhusiwi kuandika au kutoa details zako za simu as ni rahisi kwa scammer kukuingilia na kukuibia.. Mawasiliano hote yafanyike kupitia ebay na siyo nje ya ebay coz lilkitokea la kutokea ebay hawatakulinda...Ukiwa na anuani ya Posta sio vibaya ukiandika. Ni vyema sana ukiandika namba ya simu jamaa Wa Post office watapiga au kutuma SMS.