ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
CPU ilifika ukaitwa ukachukue K'nyama ukaenda ukapewa. Sasa mbona huamini Posta wakati mzigo ulipata?Tatizo ndugu yangu uaminifu wa watu wa hapa POSTA za kwetu, kwanza kumbuka mzigo ukifika pale lazima waufungue wajue kama umetumiwa bomu au nini... Sasa picha linaanza watakapokuta digital camera nzuriii au iphone 7 iko pale hiivii... uwo mzigo utapotea
Mimi nilishawai kununua Vifaa Vya Electronics mf. MicroCPU, Capacitors, Sensors jamaa wa Kjitonyama pale wakanipigia simu nikachukue
Sasa agizi digital camera au iphone7 huone kama utapigiwa simu.
Mkuu wewe uliagizia nini ukapata? Labda unaweza ukaongeza imani yao