Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Hayo mashamba yapo Singida kijiji gani au sehemu gani?
Wewe wasema, a true entrepreneur hapotezwi na mtaji mkubwaangekuwa ni hiyo 5m wakati anaanza ndiyo angepotea kabisaa! hivyo alivyoanza ameanza vizuri sana, ameanza kidogo kitu na amepata darasa la bure, next time anaweza kupanua shamba na kurekebisha makosa na akaendelea, akishakuwa confortable sasa anaweza kuwekeza pesa nyingi! kilimo cha kutegemea mvua siyo cha kuchezea hata kidogo, kinaweza kukutoa au kukuondoa kabisa!
Wewe wasema, a true entrepreneur hapotezwi na mtaji mkubwa
mkuu usiwe na haraka kuuza hayo mazao mwezi wa 12 hupanda hadi 90000 kwa gunia kama una haraka hapo sawa
Si bora ulime maharage mkuu
1) Kila Gunia utapata Dumu moja la mafuta ambalo ni Tshs 54,000/=wakuu
kesho naanza kuandaa shamba la alizeriti rasmi,ila kwa mara ya kwanza nitarima heka 4 za majaribio
nimekipenda kilimo cha alizeti kwani hakitumii garama kubwa, unaweza palilia mara moja tu msimu mzima,
kunamdogo angu mwaka jana,alilima heka moja,akapata magunia 10 ,pia nilijaribu kuongea na mama angu yeye ni mzoefu na kilimo akaniambia heka moja hutoa gunia 10 adi 11 tena kwa kilimo cha kawaida,ukikamua kila gunia hutoa dumu moja la mafuta, mwaka 2014 mafuta yalikua yanauzwa 54000 mashineni kwa sasa itakua inakalibia 60000 ,
Shamba la familia lipo kwangu eneo sio tatizo,kama mambo yatanyooka mwakani ntaongeza heka 10 au 20,na ikikaa vizuri miaka ijayo ntalima heka 50
mwaka huu nafanya majiribio ili nilijue zao vizuri kwani hua naishi mbali kidogo na home ,ila mwakani ntakua bega kwa bega kijijini
NAtoa ahadi ntaleta mrejesho mwakani baada ya mavuno
kalibuni singida,
Kuvuna baada ya miezi mingap?
1) Kila Gunia utapata Dumu moja la mafuta ambalo ni Tshs 54,000/=
So heka 1 inatoa Gunia 10= Dumu 10 = Tshs 540,000 ongeza na mapato ya mashudu ambayo siyajui,
Je unafahamu matumizi au gharama za kulima hiyo heka 1 ni kiasi gani hata kama Shamba ni la kwenu??
2) Na Gunia 1 = Dumu 1 = Tshs 54,000
100Kg = Tshs 54,000
1kg = Tshs 540
Je umejaribu kuangalia na maharagwe ambayo unasema ni kilimo cha kawaida sana huko kwenu yanauzwa au yana thamani gani kwa kila kilo 1??
3) Au Umejaribu kuangalia maharagwe haya kwa kila heka yanatoa gunia ngapi kwa heka??
Yalinikuta haya kwenye eka mbili zangu za mpunga mwaka 2014. Uluchoainisha hapo juu ndicho nilichojifunza. Saivi sifanyi kitu ambacho najua sitakuwa na wasaa wa kukisimamia.USHAURI WA KUZINGATIA NI HUU;
Kazi yeyote ambayo hautaisimamia mwenyewe na ukaamua kuifanya kwa kupiga tu SIMU mwisho wa siku unaamabulia matokeo mabaya.
Mimi mwenyewe ilinigarimu ktk kilimo cha mpunga wakati wa kuvuna nikawa nawasiliana kwa simu nikajikuta mimeibiwa.
Utaibiwa ktk garama za maadalizi,palizi,pembejeo wakati wa kuvuna hata wakti wa kuuza n.k.
Hivyo kama unataka kuvuna kweli kwa kuongeza eka jitahidi uende angalau wakati wa kupanda,na usikosekane KAMWE wakti wa KUVUNA hata kama umemweka ndugu yako akusimamie