Mrejesho: Matokeo ya kilimo cha alizeti Singida

Mrejesho: Matokeo ya kilimo cha alizeti Singida

Daah mambo mengine bhana!!Swali dogo tu linakuwa shida.Nakuuliza nawe unaniuliza,natia shaka na hayo mashamba yawezekana ni mambo yaleyaleee.

Nimelima kijiji cha IKIU.
 
angekuwa ni hiyo 5m wakati anaanza ndiyo angepotea kabisaa! hivyo alivyoanza ameanza vizuri sana, ameanza kidogo kitu na amepata darasa la bure, next time anaweza kupanua shamba na kurekebisha makosa na akaendelea, akishakuwa confortable sasa anaweza kuwekeza pesa nyingi! kilimo cha kutegemea mvua siyo cha kuchezea hata kidogo, kinaweza kukutoa au kukuondoa kabisa!
Wewe wasema, a true entrepreneur hapotezwi na mtaji mkubwa
 
Wewe wasema, a true entrepreneur hapotezwi na mtaji mkubwa

mkuu, kwani wewe ulivyosoma post ya mdau hapo umeona sababu iliyomfanya afeli ni mtaji? na kwa mantiki hiyo angewekeza 5M kwenye huo mradi wake angefaulu?!! isijekuwa unazungumzia mradi tofauti na wa jamaa!!!
 
Sema ukweli asilimia kubwa ya watanzania wana fanya kilimo kwa mazoea kitu ambacho ni vigumu sana kupata matokeo anayo tarajia

Haya mambo ya jinsi ya kuboresha ardhi kuna wataaramu wake, pia ata mbinu za upandaji katika majila mbali mbali kuna wataalamu wake, nijambo tu la kuwaona bila kujali gharama, maana ukiziepuka izo ndio matokeo yana kuja ndivyo sivyo

Ushauri wangu kwa kila m2 anae taka kuji usisha na jambo lolote lile liwe kilimo au ufugaji N.k onana na wataalamu ili upate ujuzi wakitaalamu wa wambo unalo taka kulifanya

Nchi nyingine wana jali sana specialist ya mtu, niki maanisha kila mtu lazima afanye kazi yake, sasa TZ mkulima yeye mwenyewe ana taka kuwa Audit wa shamba lake katika Soil, Seeds, disease,farm planning, harvesting Methods. Wakati iv vitu vyote ukiwaona wataalamu wana kushauri vizuri jinsi gani ufanye

N.b; Agriculture needs big investment for Better results

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
USHAURI WA KUZINGATIA NI HUU;
Kazi yeyote ambayo hautaisimamia mwenyewe na ukaamua kuifanya kwa kupiga tu SIMU mwisho wa siku unaamabulia matokeo mabaya.
Mimi mwenyewe ilinigarimu ktk kilimo cha mpunga wakati wa kuvuna nikawa nawasiliana kwa simu nikajikuta mimeibiwa.
Utaibiwa ktk garama za maadalizi,palizi,pembejeo wakati wa kuvuna hata wakti wa kuuza n.k.
Hivyo kama unataka kuvuna kweli kwa kuongeza eka jitahidi uende angalau wakati wa kupanda,na usikosekane KAMWE wakti wa KUVUNA hata kama umemweka ndugu yako akusimamie
 
Pongezi nyingi sana kwako Ibravo kwa kujaribu hasa kwa nia ya kutaka kuona matokeo.
Siku zote wanaojaribu huwa ndio waalimu wazuri wa makosa yatakayo kuja mbeleni. Katika dunia ya leo usipofanya kitu hakuna kitu kitakachotokea, ila ukijaribu lazima kitu kitokee. Ubora wa kitakachotokea unatokana na jinsi utakavyo fanya. Nakutia moyo endelea na hizo tano, halafu kumi halafu ishirini hadi mia utafika mkuu.
 
wakuu

kesho naanza kuandaa shamba la alizeriti rasmi,ila kwa mara ya kwanza nitarima heka 4 za majaribio

nimekipenda kilimo cha alizeti kwani hakitumii garama kubwa, unaweza palilia mara moja tu msimu mzima,

kunamdogo angu mwaka jana,alilima heka moja,akapata magunia 10 ,pia nilijaribu kuongea na mama angu yeye ni mzoefu na kilimo akaniambia heka moja hutoa gunia 10 adi 11 tena kwa kilimo cha kawaida,ukikamua kila gunia hutoa dumu moja la mafuta,mwaka 2014 mafuta yalikua yanauzwa 54000 mashineni kwa sasa itakua inakalibia 60000 ,

Shamba la familia lipo kwangu eneo sio tatizo,kama mambo yatanyooka mwakani ntaongeza heka 10 au 20,na ikikaa vizuri miaka ijayo ntalima heka 50

mwaka huu nafanya majiribio ili nilijue zao vizuri kwani hua naishi mbali kidogo na home ,ila mwakani ntakua bega kwa bega kijijini

NAtoa ahadi ntaleta mrejesho mwakani baada ya mavuno

kalibuni singida,
 
poa mkuu,ntaleta mrejesho hasa kwenye mavuno na bei,kesho jembe begani
 
wakuu

kesho naanza kuandaa shamba la alizeriti rasmi,ila kwa mara ya kwanza nitarima heka 4 za majaribio

nimekipenda kilimo cha alizeti kwani hakitumii garama kubwa, unaweza palilia mara moja tu msimu mzima,

kunamdogo angu mwaka jana,alilima heka moja,akapata magunia 10 ,pia nilijaribu kuongea na mama angu yeye ni mzoefu na kilimo akaniambia heka moja hutoa gunia 10 adi 11 tena kwa kilimo cha kawaida,ukikamua kila gunia hutoa dumu moja la mafuta, mwaka 2014 mafuta yalikua yanauzwa 54000 mashineni kwa sasa itakua inakalibia 60000 ,

Shamba la familia lipo kwangu eneo sio tatizo,kama mambo yatanyooka mwakani ntaongeza heka 10 au 20,na ikikaa vizuri miaka ijayo ntalima heka 50

mwaka huu nafanya majiribio ili nilijue zao vizuri kwani hua naishi mbali kidogo na home ,ila mwakani ntakua bega kwa bega kijijini

NAtoa ahadi ntaleta mrejesho mwakani baada ya mavuno

kalibuni singida,
1) Kila Gunia utapata Dumu moja la mafuta ambalo ni Tshs 54,000/=
So heka 1 inatoa Gunia 10= Dumu 10 = Tshs 540,000 ongeza na mapato ya mashudu ambayo siyajui,
Je unafahamu matumizi au gharama za kulima hiyo heka 1 ni kiasi gani hata kama Shamba ni la kwenu??

2) Na Gunia 1 = Dumu 1 = Tshs 54,000
100Kg = Tshs 54,000
1kg = Tshs 540
Je umejaribu kuangalia na maharagwe ambayo unasema ni kilimo cha kawaida sana huko kwenu yanauzwa au yana thamani gani kwa kila kilo 1??

3) Au Umejaribu kuangalia maharagwe haya kwa kila heka yanatoa gunia ngapi kwa heka??
 
mkuu,sio kila zao hustawi kila mahali,japo ardhi ni bule lakini nina uhakika garama haitazidi elfu 70 per heka,
kuandaa shamba 5000
kupanda 5000
parizi 1 20000
kuvuna 20000
jumla 50000

hata kama ukipalilia mala 2 na ukakodi shamba 20000 haizidi 90000

ikumbukwe,udongo wa huku kijijini hauhitaji mbolea

note:hata hivyo nipo kwenye majaribio
 
USHAURI WA KUZINGATIA NI HUU;
Kazi yeyote ambayo hautaisimamia mwenyewe na ukaamua kuifanya kwa kupiga tu SIMU mwisho wa siku unaamabulia matokeo mabaya.
Mimi mwenyewe ilinigarimu ktk kilimo cha mpunga wakati wa kuvuna nikawa nawasiliana kwa simu nikajikuta mimeibiwa.
Utaibiwa ktk garama za maadalizi,palizi,pembejeo wakati wa kuvuna hata wakti wa kuuza n.k.
Hivyo kama unataka kuvuna kweli kwa kuongeza eka jitahidi uende angalau wakati wa kupanda,na usikosekane KAMWE wakti wa KUVUNA hata kama umemweka ndugu yako akusimamie
Yalinikuta haya kwenye eka mbili zangu za mpunga mwaka 2014. Uluchoainisha hapo juu ndicho nilichojifunza. Saivi sifanyi kitu ambacho najua sitakuwa na wasaa wa kukisimamia.
 
Back
Top Bottom