Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Habari wanaJF
Mwaka jana nilileta uzi kuomba msaada baada ya masiku ya kuhangaika na kukosa msaada kwa takriban miaka mitatu. Tatizo lilikuwa kukosa nguvu za kiume baada ya kuchepuka na aliekuwa mke wa mtu hatimae kukosa hamu ya tendo.
Kwanza kabisa niwashukuru wana jf kwa michango yenu kuna waliokuja pm na kunishauri nini nifanye na kuna walioguswa na tatizo langu na kunipa pole wote kwa pamoja nasema ahsanteni na nawashukuru.
Sasa baada ya kuhangaika sana na kufuata ushauri wa baadhi ya watu nimefanikiwa kupona japo sitasema niponea wapi litaonekana kama tangazo ila kiuhalisia nimepona na napiga shoo kama kawaida.
Ahsanteni sana