Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes we Learn through mistakes!
Wewe tu mkuu sikulazimishi uamini mimi nimeleta mrejesho wa tatizo nililoomba msaada humu kwanini sisitoe shukran kwa waliotoa mawazo yaoAcha kusema hili sio tangazo wakati ni tangazo. Unatufanya mazombi sisi sio?
Hatuji pm wala nini
Ila wewe ukiwa unaandika ule ujinga wako huwa uko kindergarten? Acha unafikiPunguzeni ujuaji basi, MTU kaleta feedbacks watu mnaanza kuleta ujuaji haipendezi mbona hii JF ninataka kuwa darasa la Watoto wa Nursery?
Mtu katumia muda wake kuandika, unakuja kusoma burebure huachi hata like, usiwe hivyo bhana
Unawaza ninachokiwaza mimi. Kuna wengi watamtumia private msg ''kumbembeleza na kumsihi'' awaambie aliponaje. Na hao ndiyo anawatafuta na ndiyo lengo lake.Hii sio biashara inatangazwa? Kuna watu watapigwa sasa hivi, asante mafunzo ya Cuba
Ntakuwa nafanya hvo madame.Naona umemuachia like! Uwe unafanya hivyo kila uzi
Una ushauri gani kwa sisi ambao bado tuna dunda tu na nyapu za wake za watu?
It's up to you mkuu, mimi nilicholeta ni mrejesho labda nilitakiwa nisilete baada ya uzi wangu wa kwanza kuelezea tatizo langu ndio unaniambia sasa kwa siku nyingine sitaleta ili lisiwe tangazoUnawaza ninachokiwaza mimi. Kuna wengi watamtumia private msg ''kumbembeleza na kumsihi'' awaambie aliponaje. Na hao ndiyo anawatafuta na ndiyo lengo lake.
nguvu za kike zinatusumbua sana,,unaeza kua unasex ili tu kumridhisha mwenzio ila hufeel chochote na wapo weng sana saiviKivipi mkuu hebu fafanua kidogo
Duuh, kwa mwanamke kunatafsirika kuwa ni kukosa hamu ya tendo kwani huwa hamtumii nguvu yoyote kwenye lile tendo kama mwanaumenguvu za kike zinatusumbua sana,,unaeza kua unasex ili tu kumridhisha mwenzio ila hufeel chochote na wapo weng sana saivi