Mrejesho; Miaka minne ya mateso sasa nimepona

Duuh, kwa mwanamke kunatafsirika kuwa ni kukosa hamu ya tendo kwani huwa hamtumii nguvu yoyote kwenye lile tendo kama mwanaume
Hahahaha πŸ˜„πŸ˜hua mnasema ivo kututunzia heshima,,,iv mfano mwanaume akiwa hana ham ya tendo mashine hua inafanya kaz mzeeπŸ˜„πŸ˜,,tafakari chukua hatua.....
 
Hahahaha πŸ˜„πŸ˜hua mnasema ivo kututunzia heshima,,,iv mfano mwanaume akiwa hana ham ya tendo mashine hua inafanya kaz mzeeπŸ˜„πŸ˜,,tafakari chukua hatua.....
Hapo nimetafsiri neno "nguvu" hii ni tofauti na hamu au hisia kuna wakati mwanaume anakosa hisia lakini anakuwa na hamu na pia nguvu anazo yaani nguvu za kusimamisha na kupush anazo lkn kwa wakati huo hisia hana hii ni tofauti kwa ke huwa hamuhitaji nguvu yoyote kufanya tendo
 
Weeeee ngoj kwanz,, mwanaume ata akikosa ham ya tendo kwa mwaka mfano sisi waja uku tutatafsiri ana shda gan!?,,coz n lazma hatasimamisha kifup kuna sabab nying znazopelekea mwanaume kuonekana hana nguv za kiume (siri zao za kambi)
 
Hahahh huu mjadala ni mzito ila nafikiri mwanamke hana nguvu za kike neno "nguvu" kwa mwanamke linatafsiriwa vibaya
 
Hahahh huu mjadala ni mzito ila nafikiri mwanamke hana nguvu za kike neno "nguvu" kwa mwanamke linatafsiriwa vibaya
ndoman nkasema tunatunziwa heshima 🀣🀣
 
Hili tangazo limetengenezwa kimasta sana ili kuwakamata baadhi ya watu. Utawakamata wengi sana nakuhakikishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…