Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

Hiyo na Mali yenu wote, ila kiwanja na sio nyumba ndio vinaendana na umiliki. Yaani kama kiwanja kina jina la mke, hata ukiweka jina lako kwenye bili zote, bado serikali inajua kiwanja ni cha mkeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…