MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Hatujasoma huu ushauri πmwisho kabisa nitoe rai kwa wadada wa kaskazini kupunguza matumizi ya vilevi kama pombe na bangi, ni kweli mmebarikiwa uzuri ila matumizi ya ivo vitu yanawadiscredit sana.
huo ushauri ni muhimu sana, inabidi tuanzishe kampeni sasa maana mmekua too muchHatujasoma huu ushauri π
So much thanks π€Hongera kwa kuwa babaβ¦ Mungu awatangulie ktk safari hiyo mpya.
Mvinyo kidogo kwa ajili ya tumbohuo ushauri ni muhimu sana, inabidi tuanzishe kampeni sasa maana mmekua too much
Acha hizo weweUsisahau kucheki DNA baada ya mda fulani mkuu.
Asante sana Madam π€Hongera sana mkuu Mungu awajalie afya njema na uzima tele wewe mama na mtoto pia!
Watoto ni baraka!
Kitanda hakizai haramu mkuuUsisahau kucheki DNA baada ya mda fulani mkuu.
ππKitanda hakizai haramu mkuu
Acha ganja. Siyo nzuri.Hatujasoma huu ushauri π
ππAcha hizo wewe
Watu wenye upungufu waβ¦. Mna shida. π
Hatari sana mkuuAcha hizo wewe
Watu wenye upungufu waβ¦. Mna shida. π
Naomba maandiko matakatifu πAcha ganja. Siyo nzuri.
π€£π€£π€£π€£Naomba maandiko matakatifu π
Yasupport kauli yako
ππ karibu maji hapaπ€£π€£π€£π€£
Daah.
Kumbe haikuwa attentions bhna ni reallykwanza Namshukuru Mungu kwa sikuu hii tukufu ya leo kwa kutujalia kupata baby boy, hakika yeye ni Muweza [emoji120]
Pili nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa members wote wa JF mlionipatia ushauri kuhusu mpenzi wangu aliegoma kuacha bangi wakati wa ujauzito, nilifanikiwa kudeal nae baada ya kuamua kukaa nae kwangu ingawa kwa kuchelewa ila nashukuru sana hamna kilichoaribika.
Pwisho kabisa nitoe rai kwa wadada wa kaskazini kupunguza matumizi ya vilevi kama pombe na bangi, ni kweli mmebarikiwa uzuri ila matumizi ya ivo vitu yanawadiscredit sana.
Pia unaweza kusoma.
Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi.