Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Kumbe mkwara wote ni kuwa unanisingizia mie wako?Utaanzia wapi kwa mfano?? Ndege wangu mwenyewe wala sihitaji manati...
Nimegundua hilo jamaa ana interest pia kumbeKumbe mkwara wote ni kuwa unanisingizia mie wako?
Kama ni ivo chukua mswaki ukaisukutue nyota yako!Hizi habari uwa siziamini mi niliweka bandiko hata like sikupata
Labda kama tumeachana leo mchana...Kumbe mkwara wote ni kuwa unanisingizia mie wako?
There is love and commitment. Differentiate the two. Love may bear commitment but commitment may come without love.Remember love is not a feeling. It is a decision. Love is a beautiful thing. Enjoy it.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuuuuuuuu !!!! Alenge hangiiii hahaaaChiza nyanda lendaga lulu
mpe kichwa akija kulia baadae utajamfuta machozi kwa kumsaidia kuwalea watoto wake walau wawiliKijana acha jamaa atumie fursa, tunataka serikali ya viwanda.
hahahampe kichwa akija kulia baadae utajamfuta machozi kwa kumsaidia kuwalea watoto wake walau wawili
Nilishakuwacha long time kitamboLabda kama tumeachana leo mchana...
Utaanzia wapi kwa mfano??Nilishakuwacha long time kitambo
Duuh!!Good job brother 🙂 kwa wale pia wanaotafuta wa kizungu wanaweza kuwapa hapa kwenye hii website
www.backpage.com ikishafunguka ingia kwenye personal click utaona warembo wa kizungu ila ni wa nchi za nje tuu .iko upande wa kulia kwako ,
I didn't know that. But for his case, I wanted to tell him that when you love you decide (not feeling). A feeling can come and go but a decision keeps longing. That's what I meant.There is love and commitment. Differentiate the two. Love may bear commitment but commitment may come without love.
Miss_blossom mbona moyo wangu umeacha kazi yake ya kusukuma damu badala yake unanisukuma kuja kwako?Kwakwel ur in love
Honey faithNani kakupeleka huko jamani?
Mbona hujaniita kwenye hiki ajabu jipya la Sayari???
Hii njemba imejoin JF February mwaka huu, na February mwaka huu ishapata mke!!!
Ama kweli, msukuma ni msukuma tu!!
Nimwevulia kofia... Maana kuna jogoo langu kitombi balaa, limemaliza mwezi sasa bado linasaka mtetea wa kutotolesha halijapata...