MREJESHO: Msukuma Msomi nimepata Mke JamiiForums

mpe kichwa akija kulia baadae utajamfuta machozi kwa kumsaidia kuwalea watoto wake walau wawili
Mkuu, sioni mahali nilipokuvunjia heshima, ila nilitaka kukwambia tu kuwa nina uwezo wa kulea watoto wangu. Asante.
 
Hizi habari uwa siziamini mi niliweka bandiko hata like sikupata
Msomi tajiri ulitumia ID gani kuweka hilo bandiko. Nilitaka kulipitia halafu nilinganishe na lile la msomi mwenzako.

Msomi msukuma anajua kutafuta, nenda kasome lile tangazo lake na wewe ujifunze, kuna madini tupu. Ningekua na dada ambaye hajaolewa ningempa amuoe, na kazi amtafutie.
 
Hayo ni ya kwako ila kumbuka hizi ni nyakati zingine kabisa.
Pia hongera kwenye kadi usinisahau.
 
Ushakula mzigo?ujue kama yaliyomo yamo.
 
Dah.... Mbio ndefu ujanja wake ni kuanza mdogomdogo..... Ukianza kasi kwa sifa hata Ubungo haufiki.... Ulimi nje [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ushakula mzigo ujue kama yaliyomo yamo?
 
Msomi mbona umekua difensive hivyo; huo ujumbe ulimlenga Mdomo bakuli. Hata hivyo umepost ujumbe mmoja kama mara tano hivi, mara moja ingetosha.

Calm down mkuu.

You dont have to answer to anyone here.
Ni ujumbe mmoja kwa watu tofauti, wewe ndio umeusoma mara 5. Sijapanic kabisa, nisome tena.
 
Mara inshallah Mara ss wote ni Wa kristo acha fiksi Mkuu au una mdanganya DADA wa watu? Kama kweli mkristo tutajie kanuni ya imani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Aaah wasukuma bwana muwe mnakuja mjini mapema mnaniabisha watani zangu.
 
We toa povu lakini uje na picha za arusi
 
Mara inshallah Mara ss wote ni Wa kristo acha fiksi Mkuu au una mdanganya DADA wa watu? Kama kweli mkristo tutajie kanuni ya imani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
No Comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…