MREJESHO: Msukuma Msomi nimepata Mke JamiiForums

Msukuma Msomi

Senior Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
173
Reaction score
149
Habari wana JF,

Kwa mnaokumbuka thread yangu ya kutafuta mke:
Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze

Nimerudi kuwakushukuru, nimepata mke mwema wa kufanana nae, ninamshukuru Mungu sana, asanteni kwa michango yenu, asanteni kwa wanaume wenzangu mlionifata inbox na kunishauri niwe makini, asanteni kwa kina dada wote waliojitokeza, inshallah Mungu atawapeni wa kufanana nae.

Dada huyu ni member wa muda mrefu hapa JamiiForums, na hadi leo siamini kuwa mimi ndie mume wake mtarajiwa, kwahiyo inbobo zenu mnazomtumia mjue pia mimi ninazisoma, maana hatufichani lolote tena hadi sasa.

Wote ni wakristo, na mpango wetu ni kwenda kutambulishana kwa wazazi. Licha ya tofauti zetu kama vile za kiuchumi, umri, malezi, career, n.k., kwakweli we are in love and 'yo can't tell us anyting' 🙂

I love you coco. I know you are reading me. Nakupenda hadi moyo unasukuma damu kimadoido. Nakupenda hadi kazini wameshtuka kwamba I met someone kwasababu whenever I receive your text message, or a lunch invitation, natabasamu kwa furaha kubwa. Nakupenda mamii.

Wako,
Msukuma Msomi.

PS: Kwa mnaotusema vibaya, kwamba haiwezekani kufall in love ndani ya wiki 2, endeleeni na imani zenu. Naomba msubiri picha na kadi za mialiko ya harusi. Pia nipo kwenye mawasiliano na uongozi wa JF kuhusu utaratibu uliopo wa kuconfirm couple wa JamiiForums. Mimi na mwenzangu tunaamini upendo ni upendo, hauna kipimo cha muda. Kama wewe unaamini ni lazima ukae miezi 2 au 6 ndio ujue kuwa flani ni mke/mme wako. Follow what you believe, don't judge others.
 
Habari wana JF,
Kwa mnaokumbuka thread yangu ya kutafuta mke:
Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze

Nimerudi kuwakushukuru, nimepata mke mwema wa kufanana nae, ninamshukuru Mungu sana, asanteni kwa michango yenu, asanteni kwa wanaume wenzangu mlionifata inbox na kunishauri niwe makini, asanteni kwa kina dada wote waliojitokeza, inshallah Mungu atawapeni wa kufanana nae.

Dada huyu ni member wa muda mrefu hapa JamiiForums, na hadi leo siamini kuwa mimi ndie Mume wake mtarajiwa, kwahiyo inbobo zenu mnazomtumia mjue pia mimi ninazisoma, maana hatufichani lolote tena hadi sasa.

Wote ni wakristo, na mpango wetu ni kwenda kutambulishana kwa wazazi. Licha ya tofauti zetu kama vile za kiuchumi, umri, malezi, career, n.k., kwkweli we are in love and 'yo can't tell us anyting' 🙂

I love you coco. I know you are reading me. Nakupenda hadi moyo unasukuma damu kimadoido. Nakupenda hadi kazini wameshtuka kwamba I met someone kwasababu whenever I receive your text message, or a lunch invitation, natabasamu kwa furaha kubwa. Nakupenda mamii.

Wako,
Msukuma Msomi.
Chiza nyanda lendaga lulu
 
joined fbb 2017 kisha umepata mke haaa
 
Kama nawaona vile. All the best
16465138_1826620004260263_1675417010743279616_n.jpg
 
Good job brother 🙂 kwa wale pia wanaotafuta wa kizungu wanaweza kuwapa hapa kwenye hii website
www.backpage.com ikishafunguka ingia kwenye personal click utaona warembo wa kizungu ila ni wa nchi za nje tuu .iko upande wa kulia kwako ,
 
Back
Top Bottom