Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Testimony that you got somebody from jf or testimony you got msukuma msomi of jf?I was just about to come out with the same testimony before things melted down on my hands.
Everything mkuu.Testimony that you got somebody from jf or testimony you got msukuma msomi of jf?
oleho nkoi? amamilemo??Chiza nyanda lendaga lulu
Na ujue kajoin2017 /katengeneza ID 2017 na keshampata mke mwemaingekua vizur huyo uliempata aje athibitishe hapa ili na sie tujue kuwa inawezekana kupata mwenza wa kweli hapa JF.. Otherwise hongera zenu
Chiza galeja geteoleho nkoi? amamilemo??
We genius kaka,roho yangu imesuuzika vilivyoGood job brother 🙂 kwa wale pia wanaotafuta wa kizungu wanaweza kuwapa hapa kwenye hii website
www.backpage.com ikishafunguka ingia kwenye personal click utaona warembo wa kizungu ila ni wa nchi za nje tuu .iko upande wa kulia kwako ,
mtumie sasa uzazi wa mpango si unajua maisha term hii pia isaidie serikali kubalance watu iwamudu,hata kama ni mkristu futa ile "tukaijaze dunia"kwa maana imeshajaa sasa...
NAWATAKIA MAPENZI MUBASHARA
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]I was just about to come out with the same testimony before things melted down on my hands.
Du,mbona kama sijaelewa vile!!!Umetuaminisha kuwa umepata mke mwema ajabu ukasisitiza kuwa mnatarajia kwenda kwa wazazi kutambulishana mbona naona kama ni kile kipindi chetu pendwa cha lugha gongana!!!Maana nimesoma kwa makini andiko lako nikitegemea kujuwa ndoa imefungwa lini maana uchumba umesema ni mbele kwa mbele.Umri huna haja nao hata akilingana na mama yako twende tu,okay ni mawazo mazuri nakupongeza.Habari wana JF,
Kwa mnaokumbuka thread yangu ya kutafuta mke:
Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze
Nimerudi kuwakushukuru, nimepata mke mwema wa kufanana nae, ninamshukuru Mungu sana, asanteni kwa michango yenu, asanteni kwa wanaume wenzangu mlionifata inbox na kunishauri niwe makini, asanteni kwa kina dada wote waliojitokeza, inshallah Mungu atawapeni wa kufanana nae.
Dada huyu ni member wa muda mrefu hapa JamiiForums, na hadi leo siamini kuwa mimi ndie mume wake mtarajiwa, kwahiyo inbobo zenu mnazomtumia mjue pia mimi ninazisoma, maana hatufichani lolote tena hadi sasa.
Wote ni wakristo, na mpango wetu ni kwenda kutambulishana kwa wazazi. Licha ya tofauti zetu kama vile za kiuchumi, umri, malezi, career, n.k., kwakweli we are in love and 'yo can't tell us anyting' 🙂
I love you coco. I know you are reading me. Nakupenda hadi moyo unasukuma damu kimadoido. Nakupenda hadi kazini wameshtuka kwamba I met someone kwasababu whenever I receive your text message, or a lunch invitation, natabasamu kwa furaha kubwa. Nakupenda mamii.
Wako,
Msukuma Msomi.