Mrejesho muhimu: Madhara ya dawa za kupunguza uzito

Utapata ushauri mwiiingi sana na mawaidha ya kila mtu kwa experience yake juu ya anavyofikiri anaelewa weight loss. Kiukweli ni kwamba, wengi watakaokushauri hawaelewi uzito wa tatizo lako zaidi ya shuhuda za kesi ndogo ndogo na ndio maana si ajabu ukaambiwa kunywa maji ya vugu vugu na limao kila asubuhi.

Kila mtu huongezeka uzito kwa sababu tofauti na mwingine na suala la jinsi nalo lina nafasi kwenye weight loss. Mwanamke na mwanaume hunenepa kwa sababu tofauti na si kila njia ni sahihi kwa watu wa jinsi zote.

Kwa kukusaidia tu, ondoa akilini mwako kuwa jambo hili linaweza kufanikiwa kwa muda mfupi otherwise muda si mrefu utajitengenezea a very serious health problem. Mimi nimeshindana sana na uzito kwa kuruka kamba hadi kupanda milima, mwisho wa siku niligundulika kuwa na digestion disorder.
 
Dawa ya kupunguza uzito ya mchanganyiko wa majani na viungo mbalimbali nauza
Kama unahitaji pm nikuelekeze pa kufuata
 
kweli mkuu.sasa hivi nakula tu healthy basi
 
mkuu sili sana ni asili tu
wakati wenzetu wanarithi pesa si tunarithi unene na maradhi, ukoo wetu hakuna mtu mwembamba yani hata ufanye mazoezi vipi hali ni ile ile yani nikirelax kidogo tu bhasi tatizo, nishakata tamaa na mwili wangu, nishaambiwa ni asili ya ukoo wetu.
 
na ukiharisha sana mpaka sehemu ya kutolea haja kubwa nasikia huwa kunakuwa kama kunawaka moto.... sasa hapo sijui dada angu unafanyaje. anyway nilishawah kukwambia nina namna ya kumfanya mtu apunguze uzito kwa njia salama kabisa ya mazoezi na chakula atakula ila si kiasi au namna ile ya mwanzo .hukutilia maanani dada yangu. hizo dawa za kupunguza kwa kuharisha ni tatizo msitumie mtakuja kufa bila malipo yaani bure kabisa.

ukipona nitafute tupeane maelekezo.wala sitohitaji pesa toka kwako zaidi ya wewe tu kunisikiliza na kuwa tunafanya mazoezi wote kwa njia ya simu jioni na asubuhi.kwa kufuata tu maelekezo nusu saa inatosha sana.

asante sana yaani cha moto nakiona . hadi kichwa kinauma
 
Pole sana, fanya mazoezi ya kawaida achana na madawa, madawa sio mazuri, Nenda Gym utapungua tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…