Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #41
hunitakii mema mkuu.Kwa hiyo umeacha hiyo dawa au bado unaendelea nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hunitakii mema mkuu.Kwa hiyo umeacha hiyo dawa au bado unaendelea nayo
Nope nakutakia mema sana tu. Mungu akujalie uzima tele mkuu.hunitakii mema mkuu.
Hiyo michanganyiko ya dawa ye aliambiwa mdalasini na asaliahaaaaa alikunywa nini?
mdalasini na asali mbona dawa nzuri tu tena ya uzazi?Hiyo michanganyiko ya dawa ye aliambiwa mdalasini na asali
kweli mkuu.sasa hivi nakula tu healthy basiUtapata ushauri mwiiingi sana na mawaidha ya kila mtu kwa experience yake juu ya anavyofikiri anaelewa weight loss. Kiukweli ni kwamba, wengi watakaokushauri hawaelewi uzito wa tatizo lako zaidi ya shuhuda za kesi ndogo ndogo na ndio maana si ajabu ukaambiwa kunywa maji ya vugu vugu na limao kila asubuhi.
Kila mtu huongezeka uzito kwa sababu tofauti na mwingine na suala la jinsi nalo lina nafasi kwenye weight loss. Mwanamke na mwanaume hunenepa kwa sababu tofauti na si kila njia ni sahihi kwa watu wa jinsi zote.
Kwa kukusaidia tu, ondoa akilini mwako kuwa jambo hili linaweza kufanikiwa kwa muda mfupi otherwise muda si mrefu utajitengenezea a very serious health problem. Mimi nimeshindana sana na uzito kwa kuruka kamba hadi kupanda milima, mwisho wa siku niligundulika kuwa na digestion disorder.
wakati wenzetu wanarithi pesa si tunarithi unene na maradhi, ukoo wetu hakuna mtu mwembamba yani hata ufanye mazoezi vipi hali ni ile ile yani nikirelax kidogo tu bhasi tatizo, nishakata tamaa na mwili wangu, nishaambiwa ni asili ya ukoo wetu.mkuu sili sana ni asili tu
Mwenzako nusu afie choonimdalasini na asali mbona dawa nzuri tu tena ya uzazi?
Inawezekana kabisa amejioverdose, kwakua alipungua kilo 1 angepitisha wiki ndo atumie tenaULITUMIA KWA WINGI TATIZO (OVERDOSE)
Sasa bangi si ndio inaluletea hamu ya kula?Mi navuta bangi sana na sinenepi maana nakosa apetaiti
asante sana yaani cha moto nakiona . hadi kichwa kinauma
ndio hilo.jani shenzi sana kumbe .nashangaa dokta mwaka alikuwa anashauri liwekwe kwenye papuchi iwe tamuHilo ni jani gani ?
Je ni coriander ?
nipe mimba basiZaa mwili utapungua.
Muone Mtemi Deonipe mimba basi