Mrejesho muhimu: Madhara ya dawa za kupunguza uzito

ndio hilo.jani shenzi sana kumbe .nashangaa dokta mwaka alikuwa anashauri liwekwe kwenye papuchi iwe tamu
Duhhh
Mkuu mimi natumia coriander karibu kila siku kupikia ama decoration tu kwenye chakula . Coriander inasaidia sana na madini ya chuma, (iron) vitamin C, Vitamin K, potassium na kuna watu wanasema inawasaidia ku control blood sugar.

Sasa sijui kama kweli wewe ulikuwa unatumia coriander au jani lingine.
 
Uzito umenitesa sana,lakini siri ni moja tupo(mazoezi)na nidhamu ya msosi,vyakula vya wanga ni hatari ,sukari ni hatari,,mtu anataka apungue ndani ya siku 30 haiwezekani ,inatakiwa iwe ni tabia yako kufanya mazoezi na kula kiasi.
Ni kweli mkuu, pia Zoezi Iwe ni moja wapo ya maisha yako, sio unafanya Zoezi mwezi mmoja tu unaacha.
 
natumia sana hili jani kwenye saladi,pilau nk ila huwa ni kidogo narushia majani kiasi.
kwenye hii issue nilichemsha kama chai nikanywa vikombe viwili kila siku .ndo majanga yaliponipatia
 
natumia sana hili jani kwenye saladi,pilau nk ila huwa ni kidogo narushia majani kiasi.
kwenye hii issue nilichemsha kama chai nikanywa vikombe viwili kila siku .ndo majanga yaliponipatia

Duhhh pole .
Ikija kwenye kuondoa unene kila mtu
Atakwambia kitu tofauti. Lakini ukweli ni kwamba hakuna njia fupi ya kuondoa unene. Mazoezi na diet ndio njia pekee.
 
Mfumanie mpenzi wako utapungua fast wala hakun garama ndani ya wiki tu
 
Na mimi kaka..
 
Ngoja na mi niyatafute hayo majani. Lakini nitakuwa nakunywa kila baada ya siku 3.
 
Duhhh pole .
Ikija kwenye kuondoa unene kila mtu
Atakwambia kitu tofauti. Lakini ukweli ni kwamba hakuna njia fupi ya kuondoa unene. Mazoezi na diet ndio njia pekee.
nilikuwa najaribu tu kwa vile ni vitu asili ila nimekoma sio kwa kubdeed huko chaaaa!!
 
Vitu Vya Asili Kupambana Na Artificial Ni Ngumu Sana mwisho Wa Siku Unaweza Sababisha Mambo Mengine
 
haina shida hii haina side effect ni mazoezi kama mazoezi na utaratibu wa kula kiasi unabadilika ila haushindi na njaa. kama utakuwa tayari tuwasiliane inbox kwa ajili ya kufahamiashana mambo kadhaa zaidi.
Na mimi kaka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…