Mrejesho na Msaada: Nifanye biashara gani ambayo kwa siku nipate faida ya 5000?

Mrejesho na Msaada: Nifanye biashara gani ambayo kwa siku nipate faida ya 5000?

kirisha

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
573
Reaction score
663
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kunipa afya tele, wakuu niingie kwenye mada moja kwa moja tarehe 6 mwezi 12 mwaka jana niliomba ushauri nifanye nini niweze kuongeza kipato changu.

Kwenye ule uzi nilieleza mambo mengi sana nashukuru na watu walinishauri vizuri sana baada ya ushauri wenu nilianza kwanza kuwa na nidhamu ya pesa kwa kweli nimefanikiwa paka leo nimepata 200,000.

Sasa hii pesa natamani nikapange ili niweze kuhama pale kwa bosi wangu ila naona kama nikipanga na kuhama pale kwa bosi wangu siyo uamuzi mzuri sana sasa wakuu naomba msaada wenu kwa hii 200,000.

Nifanye biashara gani ambayo hata kwa siku niweze kupata faida hata 5000 tu ambayo mpaka mwezi hata wa tatu niwe nimeongeza kitu kidogo ili siku nikiwa nataka kuondoka kwa bosi wangu niwe na mwanga wa kutosha.

Nitashukuru kama mtanipa ushauri mwingine
 
Mkuu Kama upo Dar tengeneza Toroli kubwa la maji...kwa laki na 20 kisha uwe unalikodi....Bei ya Kukodisha ni 5000/= kwa siku! Kama una laki 2 na hamsini tengeneza mawili uwe unapata 10.000/= kwa siku.....Mwisho wa mwezi una 300.000/= hapo utaweza kujikwamua mkuu
 
Karanga za mayai zina soko kubwa kumbuka uwo mtaji ni mdogo apo inabidi aanzishe biashara ndogo ya kukuza mtaji kwaiyo biashara nyingi za mtaji kama uwo lazima utoe aibu
Kweli mkuu.. Mtoa mada chukua wazo hili.
 
Karanga za mayai zina soko kubwa kumbuka uwo mtaji ni mdogo apo inabidi aanzishe biashara ndogo ya kukuza mtaji kwaiyo biashara nyingi za mtaji kama uwo lazima utoe aibu
Asante mkuu kwa ushauri wako
 
Mkuu Kama upo Dar tengeneza Toroli kubwa la maji...kwa laki na 20 kisha uwe unalikodi....Bei ya Kukodisha ni 5000/= kwa siku! Kama una laki 2 na hamsini tengeneza mawili uwe unapata 10.000/= kwa siku.....Mwisho wa mwezi una 300.000/= hapo utaweza kujikwamua mkuu
Mkuu ili wazo ni lizuri ila mm nipo mwanza je kwa mazingira ya mwanza auna wazo lengine nilifanyie kazi nitashukuru sana mkuu
 
Biashara ya majeneza inalipa sana fungua kiwanda cha kutengeneza Majeneza na huduma ya kuchimba makabuli kwa siku huwezi kosa laki 5 faida baada ya kodi
 
[1/20, 4:01 PM] elias keesy: BITCLUB ADVANTAG
HII ni kampuni ya kimataifa inayofanya biashara ya ubadilishaji wa fedha dijitali (crypto currencies exchange)

Imelenga katika kutumia teknolojia maalumu inayowawezesha kupata faida kubwa na kugawana faida hiyo na wajasiriamali waliowekeza mitaji yao katika kampuni kwa muda wa wiki 52. Mwekezaji ataweza kutengeneza faida hadi 300% ya uwekezaji wake akiwa amekaa anagonga kahawa yake lakini client master ni 350% na client VIP ni 400%

*Tofauti ya Bitclub Advantage na kampuni nyinginezo ni:*

[emoji67]‍[emoji264]Hakuna bidhaa za kutembeza au kuuza ndio ulipwe

[emoji51]Hakuna malipo ya kianzio (starter pack) bali pesa yote unayowekeza ni sehemu ya mtaji wako

[emoji39]Makato ya kila mwezi (monthly fee) ni chini ya 2.6% ya kifurushi chako

[emoji39]Vifurushi 9 vyenye gharama kuanzia $30 hadi $10125 hivyo kila mtu anaweza kuingia.

Kiwango cha chini cha kutoa (minimum withdraw) ni kuanzia $10 hadi $1000 kulingana na ukubwa wa kifurushi.

[emoji651]Hakuna kiwango cha mwisho cha juu (maxmum withdraw) cha kutoa fedha zako.
Kushirikisha wengine ni hiari yako

[emoji536]Huhitaji kufungua ofisi au kuacha kazi yako ya sasa.

Ili kuanza uwekezaji wako chagua kati ya vifurushi vifuatavyo:

(malipo yanayoonyeshwa ni bila kumshirikisha yeyote, iwapo utashirikisha wengine (networking) utalipwa bonus nyingi sana
[1/20, 4:01 PM] elias keesy: *Uwekezaji ktk vifurushi 9:*

_PACKAGES hapa chini bei iliyoainishwa ni pamoja na membership fee na transfer charges na pia zinaweza kubadilika kutokana na thamani ya $ kwa wakati husika:-_

*1. Client Partner – Inauzwa kwa $30 = Tsh 67,500*
Ina Points = 5
Unalipwa kwa siku = $0.28 = Tsh 630
Unalipwa kwa Wiki = $1.40 = Tsh 3150 (Jumatatu hadi Ijumaa)
Unalipwa kwa Mwezi = $6.16 = Tsh 13,860
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi = $0.75 (Unatozwa wewe)
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($75= Tsh 168,750)

*2. Client Basic - Inauzwa kwa $55 = Tsh 123,750*
Ina Points = 10
Unalipwa kwa siku = $0.56 = Tsh 1260
Unalipwa kwa Wiki= $2.80 = Tsh 6,300 (Monday to Friday)
Unalipwa kwa Mwezi= $12.32 = Tsh 27,720
Gharama ya Uendeshaji kwa Mwezi = $1.5
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($150= Tsh 337,500)

*3. Client Bronze - Inauzwa kwa $110= Tsh 247,500*
Ina Points = 20 Unalipwa kwa siku = $1.35 = Tsh 3037.5
Unalipwa kwa Wiki= $6.75 = Tsh 15,185
Unalipwa kwa Mwezi = $29.70 = Tsh 66,825
Gharama ya Uendeshaji kwa Mwezi ni = $2.97
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300%. i.e ($297= Tsh 668,250)

*4. Client Silver - Inauzwa kwa $270= Tsh 607,500*
Ina Points = 50
Unalipwa kwa siku = $3.39 = Tsh 7618.5
Unalipwa kwa Wiki= $16.93 = Tsh 38,100
Unalipwa kwa Mwezi = $74.50 = Tsh 167,625
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi = $ 7.47
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii ROI = 300% i.e ($747= Tsh 1,680,750)

*5. Client Gold - Inauzwa kwa $550= Tsh 1,237,500*
Ina Points = 100
Unalipwa kwa siku = $6.79 = Tsh 15,277.5
Unalipwa kwa Wiki = $33.93 = Tsh 76,342.5
Unalipwa kwa Mwezi = $149 = Tsh 335,925
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($1497 = Tsh 3,368,250)

*6. Client Premium - Inauzwa kwa $1060=Tsh 2,385,000*
Ina Points = 200
Unalipwa kwa siku = $13.59 = Tsh 30,577.5
Unalipwa kwa Wiki= $67.93 =Tsh 152,842.5
Unalipwa kwa Mwezi = $298.90 = Tsh 672,525
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi = $24.98
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($2997 = Tsh 6,743,250)

*7. Client Black- Inauzwa kwa $2060= Tsh 4,635,000*
Ina Points = 400
Unalipwa kwa siku = $30.78 = Tsh 69,255
Unalipwa kwa Wiki = $153.92 = Tsh 346,320
Unalipwa kwa Mwezi= $677.26 = Tsh 1,523,835

Gharama ya Uendeshaji kwa Mwezi = $49.98.

*8. Clienté Master - Inauzwa kwa $4,999 =11,247,750*
_Points:_ *1,000 Pts*
_Daily pay:_ *$82.35*
*_=Tshs._ 185,287.5/-*
_Approximate number of payable days until the ROI is reached:_ *182.137 days*
_Membership fees:_ *$50*
_Monthly Assets:_ *$124.99*
_Transaction fees:_ *$76*
_Total+Membership:_ *$5,049*
*_=Tshs._ 11,360,250/-*
_Total+Transaction:_ *$5,125*
*_=Tshs._ 11,531,250/-*
*_ROI:_ $14,997*
*_=Tshs._ 33,743,250/-*

*9. Client VIP - Inauzwa kwa $9,999 = 22,497,750*
_Points:_ *2,000 Pts*
_Daily pay:_ *$168.3*
*_=Tshs._ 378,675/-*
_Approx number of payable days until the ROI is reached:_ *178.235 days*
_Membership fees:_ *$50*
_Monthly Assets:_ *$250*
_Transaction fees:_ *$76*
_Total+Membership:_ *$10,049*
*=Tshs. 22,610,250/-*
_Total+Transaction:_ *$10,125*
*=Tshs. 22,781,250/-*
*_ROI:_ $29,997*
*_=Tshs._ 67,493,250/-*

*_INVEST AS YOU CAN_*
[emoji123][emoji123][emoji574][emoji574][emoji574][emoji573][emoji573][emoji573][emoji553]
[1/21, 5:50 PM] elias keesy: TUMETOKA MBALI SANA KITEKNOLOJIA

Ukitafakari sana utagundua kuwa Kuna mambo mengi yamebadilika duniani kote na wazee wetu wangefufuka leo hawawezi kuamini!!

Tumepitia mifumo mingi sana duniani hadi kufikia hapa tulipo!!

Mwanadamu amekuwa akitafuta ufumbuzi wa changamoto zinazomkabili kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiteknolojia, nk.

Tazama Mapinduzi mbalimbali aliyopitia mwanadamu hadi sasa hivi;

*1. Barter Trade Age*

Wengi tunajua mfumo huu wa manunuzi na mauzo ya vitu uliojulikana kama Barter Trade.

Barter trade ni mfumo ambao watu walibadilishana bidhaa kwa bidhaa, hapakuwa na fedha kama sasa. Kwa hiyo ukihitaji nguo inabidi umpe anayeuza nguo kile ulichonacho mfano mnabadilshana nguo kwa kuku, mahindi kwa mbuzi na kadhalika. Mfumo huo ukapita ukaja mfumo mwingine!!

*2. Vito vya Thamani kama Dhahabu.*

Ulimwengu ulihama kutoka kwenye zama za kubadilisha vitu kwa vitu ukahamia kwenye kubadilisha vitu kwa KITO cha thamani kama dhahabu. Thamani ya vipande vya dhahabu ilipimwa kwa wingi au ubora wa bidhaa husika inayobadilishana na kipande hicho cha dhahabu. Mfumo huu au zama hizo zikapita. Ukaja mfumo mwingine!! Endelea kusoma.....

*3. Coin and Paper money Age*.

Matumizi ya dhahabu bado yalikuwa magumu sana. Wizi na ugumu wa kusafiri na vipande vya dhahabu viliifanya dunia kuja na mfumo wa sarafu na fedha za makaratasi. Mfumo huu ndo ambao tunautumia kwa kiasi kikubwa mpaka sasa. Mfumo huu umedumu sana kwa karne nyingi!!

Hata hivyo, mfumo huu unaendelea kukosa nguvu. Tangu miaka ya 2005 mfumo mpya wa kutembea na Phone Wallets au mobile money umedhoofisha sana mfumo wa paper note au coin money!!

*4. Mobile Money Age.*

Huu ni mfumo ulioletwa na Internet na Mobile phones. Mfumo huu umeanza miongo kama miwili iliyopita yaani mwisho mwa miaka ya 1990.

Mfano wa Mobile Money ni: Western Union, MPESA, Tigo Pesa, Airtel Money, Simbanking, Pesa Fasta, na mifumo mingine mingi ya kutuma, kupokea, na kutumia pesa kwa kutumia mitandao ya simu na internet au simu.

Mobile Money imeleta mageuzi makubwa sana kwenye mfumo wa fedha duniani. Fedha inahamishika kirahisi. Biashara nyingi zimekuwa rahisi kwa sababu ya matumizi ya Mobile Money au Mobile Banking. Mfumo huu nao unataka kufika kwenye kilele chake!! Mfumo ufuatao ndio unaenda kutawala tena ulimwengu wa biashara na sekta ya fedha! Hebu twende pamoja!!!!!

*5. CryptoCurrency Age.*

Kuanzia mwaka 2009 Sarafu ya Digitali iitwayo *BITCOIN* ilipovumbuliwa na *Satoshi Nakamoto* kumekuwepo mabadiliko makubwa sana kwenye sekta ya fedha duniani!!

CRYPTOGRAPHY INTERNET TECHNOLOGY

Sasa dunia imeingia kwenye mfumo mpya na bora zaidi wa kutuma, kupokea na kutumia fedha ujulikanao kama *CryptoCurrency.* CryptoCurrency ni Sarafu ya Digitali au ni Sarafu iliyojificha ambayo huwezi kuiona kwa macho (Crypto).

Crypto ni kitu kisichoweza kuonekana kirahisi, not tangible, not visible but valuable, top secret, etc!

Kama ilivyo kwa mobile money,(Digit zilizobeba thamani ktk M-Pesa, Tigo-Pesa, etc.
I
*Cryptocurrency* ni fedha ya kidigitali ambayo haishikiki lakini unaweza kuitumia kwa matumizi yako ya kila siku.

Ngoja nitoe mfano wa mobile money inavyoweza kutumika kama digital money.

Umewahi kwenda sehemu ukaona wameandika lipa hapa kwa Tigopesa? Yaani kama una hela kwenye Tigopesa au Mpesa unalipia huduma au bidhaa bila kutoa sarafu au noti ( actual coins or paper note)? Unaweza Kupata chakula hotelini na ukalipia huduma hiyo bila kutoa noti mfukoni mwako!! Nk.

Umewahi kuona kwenye super markets watu wananunua bidhaa au huduma kwa kutumia master au visa cards bila kutoa fedha mfukoni?

Hivyo ndivyo Cryptocurrency itakavyofanya kazi siku zinazokuja kuanzia sasa!!

Swali, kama kuna Mobile Money Cryptocurrency ya nini tena?

Ni kwamba technolojia hii inakuja kuondoa changamoto kubwa za kutumia Pesa za Noti au vichele!! Teknolojia ya crypto currency inaondoa matatizo yanayotokana na kutumia mfumo wa mabenki na serikali kuu kuingilia Uhuru wa kifedha wa watu bila sababu!!

Baadhi ya faida za cryptocurrency Ni:

1. Kutuma na kupokea fedha ni sawa na bure kabisa duniani kote!!!

2. Kutuma na kupokea pesa ni kwa haraka kama unavyotuma na kupokea ujumbe wa email kwenye internet au WhatsApp na Twitter!

3. Cryptocurrency inatumika dunia nzima wakati mobile money nyingi zinatumika eneo husika tu ambapo mtandao wa simu upo. Mf MPESA

4. Mfumo wa Cryptocurrency ni madhubuti sana kwa hiyo ni ngumu sana kutakatisha fedha (money laundering).
5. Akaunti yako ipo mikononi mwako, huna haja ya kwenda bank kuchukua fedha!!

Kuna kampuni nyingi sana zipo kwenye sekta hii ya Crypto Currency zikifanya yafuatayo:

1. Exchanging digital currency with non digital currency!!

2. Trading Crypto Currency to Crypto Currency

3. Mining Crypto Currency using special software.

4. Buying Low and Selling at Higher price!!

5. Buying Cryptocurrency at current price and holding them for future higher price!!

6. Accepting cryptocurrency in the normal business!! Eg BEFORWARD are accepting Bitcoins for selling their cars!!

Technology has gone so high!! This is a serious technology that is going to move the world from using paper money to digital money!!

Sasa utaratibu wa kubeba lundo la fedha kutoka benk kuu au mabenki ya biashara utaisha!!


Ukiwa Tanzania unaweza kutuma Pesa Nyingi sana China au USA bila kwenda bank kusaini nyaraka zozote!!

TUMETOKA MBALI SANA KITEKNOLOJIA!!
 
Njoo bitcoin jaribu ata kwa mtaji mdogo tu then utakuja kua shuhuda kwa wenzako pia nitafute wasapu no 0766055606
 
Back
Top Bottom