Mrejesho na Msaada: Nifanye biashara gani ambayo kwa siku nipate faida ya 5000?

Sawa mkuu asante kwa ushauri
Biashara yoyote utakayoshauriwa kuanza nakushauri usiingize hela yako yote. Tumia laki moja tu kwenye biashara. Lak moja inayobak weka akiba usiiguse hta iweje labda uwe umepata tenda unayoona itakulipa ila pia tumia hta elfu 50. Lazima ubaki na akiba.
Usikubal kuingiza hela yote kwenye biashara.
 
Mkuu Kama upo Dar tengeneza Toroli kubwa la maji...kwa laki na 20 kisha uwe unalikodi....Bei ya Kukodisha ni 5000/= kwa siku! Kama una laki 2 na hamsini tengeneza mawili uwe unapata 10.000/= kwa siku.....Mwisho wa mwezi una 300.000/= hapo utaweza kujikwamua mkuu
Toroli la maji likoje mkuu?
 
Biashara yoyote utakayoshauriwa kuanza nakushauri usiingize hela yako yote. Tumia laki moja tu kwenye biashara. Lak moja inayobak weka akiba usiiguse hta iweje labda uwe umepata tenda unayoona itakulipa ila pia tumia hta elfu 50. Lazima ubaki na akiba.
Usikubal kuingiza hela yote kwenye biashara.

Yah, wanasema kina cha maji hakipimwi kwa miguu miwili mkuu. Safi.
 
Back
Top Bottom