Biashara yoyote utakayoshauriwa kuanza nakushauri usiingize hela yako yote. Tumia laki moja tu kwenye biashara. Lak moja inayobak weka akiba usiiguse hta iweje labda uwe umepata tenda unayoona itakulipa ila pia tumia hta elfu 50. Lazima ubaki na akiba.Sawa mkuu asante kwa ushauri
Toroli la maji likoje mkuu?Mkuu Kama upo Dar tengeneza Toroli kubwa la maji...kwa laki na 20 kisha uwe unalikodi....Bei ya Kukodisha ni 5000/= kwa siku! Kama una laki 2 na hamsini tengeneza mawili uwe unapata 10.000/= kwa siku.....Mwisho wa mwezi una 300.000/= hapo utaweza kujikwamua mkuu
Biashara yoyote utakayoshauriwa kuanza nakushauri usiingize hela yako yote. Tumia laki moja tu kwenye biashara. Lak moja inayobak weka akiba usiiguse hta iweje labda uwe umepata tenda unayoona itakulipa ila pia tumia hta elfu 50. Lazima ubaki na akiba.
Usikubal kuingiza hela yote kwenye biashara.
yes karibu unajua tunaweza kukwambia uza samaki vibua kumbe upo sehemu ambayo hawafahamu hata kibua ni kitu gani so cha kwanza ni kuangalia fursa ya mazingira uliyopo mengine yanafwataSawa mkuu asante kwa ushauri
Kupotezana huko,Njoo bitcoin jaribu ata kwa mtaji mdogo tu then utakuja kua shuhuda kwa wenzako pia nitafute wasapu no 0766055606