Mrejesho: Nashukuru nimepata kiwanja kizuri

Mrejesho: Nashukuru nimepata kiwanja kizuri

Kibali garama zake zikoje?
Wanacalculate kwa square meters ya plan ya nyumba unayotaka kujenga. Sqm moja ni around 800tsh to 850tsh

Mfano ramani yako ina sqm 12m x 10m = 120sqm
Then
120 times hiyo bei 850 = 102,000tsh

Tip:
Peleka raman yenye sqm ndogo ili ulipe kidogo. Hii ni kwa zile halmashauri wavivu kufuatilia kilichopelekwa kwao ndio hicho kinachojengwa
 
Ahsante sana
 
Kimepimwa ila hati bado haijatoka. Riski hapo ni nini?

Kuhusu swala la uswahilini, mazingira mimi nmeyaona na nmeyapenda tu.
Umepewa hati ya kimila? Ambazo wanazo wenyeviti kama hati ya awali ya utambuzi halali wa eneo?

Na katika hati kunakua na picha 2 ya muuzaji na mnunuzi
 
Habari za weekend wakuu.

Mwaka jana mwishoni nilikuja na Uzi wa kuomba ushauri ni jinsi gani naweza pata kiwanja. Watu wengi walinipa ushauri mzuri.

Nikaona itakua vizuri nikileta mrejesho.

Nimepata eneo na nmezingatia vitu Vingi ambavyo wadau walinishauri. Uzingatiaji huo kiasi ulifanya nitumie muda mrefu kupata eneo maana mengi niliona hayafai.

Nikabadili mbinu kutoka kutumia madalali maana wao unawaambia unataka eneo la hivi wanakupeleka tu eneo ilimradi nikaona wananipotezea muda.

Mbinu iliyonisadia ni ya kwenda mtaa husika ninaohitaji eneo, nikamtafuta mwenyekiti wa pale na kumueleza sifa ta kiwanja ninachotaka (Hii mbinu pia kuna mdau walinishauri hapa). Haikuchukua muda maana yeye analist ya maeneo karibu yote yanayouzwa pale so akanipeleka direct kwenye eneo lenye sifa nilizozitaja. Nikapapenda akanikutanisha na wahusika mambo yakaisha.

Mungu akijaalia mwaka huu katikati nitaanza ujenzi. Kwa sasa Nina shughulikia issue ya kuvuta maji, ramani na kibali cha ujenzi.

Ahsanteni.
Ukimaliza njoo Dodoma, mimi nina pagale Nzuguni 0767358936
 
Back
Top Bottom