Mrejesho: Nashukuru nimepata kiwanja kizuri

Kibali garama zake zikoje?
Wanacalculate kwa square meters ya plan ya nyumba unayotaka kujenga. Sqm moja ni around 800tsh to 850tsh

Mfano ramani yako ina sqm 12m x 10m = 120sqm
Then
120 times hiyo bei 850 = 102,000tsh

Tip:
Peleka raman yenye sqm ndogo ili ulipe kidogo. Hii ni kwa zile halmashauri wavivu kufuatilia kilichopelekwa kwao ndio hicho kinachojengwa
 
Ahsante sana
 
Kimepimwa ila hati bado haijatoka. Riski hapo ni nini?

Kuhusu swala la uswahilini, mazingira mimi nmeyaona na nmeyapenda tu.
Umepewa hati ya kimila? Ambazo wanazo wenyeviti kama hati ya awali ya utambuzi halali wa eneo?

Na katika hati kunakua na picha 2 ya muuzaji na mnunuzi
 
Ukimaliza njoo Dodoma, mimi nina pagale Nzuguni 0767358936
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…