1987SANAWA
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 418
- 526
Nadhani Bwana harusi(Mshana Jr) kwa Leo na kwa kipindi kifupi kijacho hataptkn kwasbb atakuwa honey moon, nadhani tutaft njia mbada kwa sasa.kaka mshana jr you are needed here plz
Mkuu Mshana kuna hili la kulishwa sijui ndo madawa kwenye chakula nasaidikeje?....Maana naambiwa mpaka ntapishwe mkuuSio kweli kabisa... Ungekuwa unadhurika kirahisi usingekuwa hai mpaka sasa! Kinachokutesa ni hofu uliyoamua kuipa nafasi katika mustakabali wako! Vita vya kiroho si mchezo ungekuwa dhaifu huna kinga ya kiroho zamani sana ungeshaondoshwa
Anyway huo ni mtazamo wangu tu na nilichokushauri utumie ni tiba yenye nguvu sana
Acha kuteseka ndugu.Mkuu Mshana kuna hili la kulishwa sijui ndo madawa kwenye chakula nasaidikeje?....Maana naambiwa mpaka ntapishwe mkuu