HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Hahahaha ntafika hapo ngoja nile supu ya mawe maana huku kwenu kuna mawe mengi mno nahisi huwa mnapika supuKaribu sana dogo ila wanawake wetu wa huku wana adabu sana.siyo magume gume,wanajua kuwajibika kutafuta ridhiki na siyo kujiuza..japo wa kujiuza utawapata wa makabila ya kuja lakini usimaanishe hawa dada zetu.huku hakuna midebwedo wa kulelewa.
Kwanza njoo hapa mitaa ya CBE karibu na sanamu la samaki then unichek nikufundishe namna ya kuenenda kwenye huu mji
Umezengua...hujaonekanaHahahaha ntafika hapo ngoja nile supu ya mawe maana huku kwenu kuna mawe mengi mno nahisi huwa mnapika supu