Mrejesho: Nimefika Mwanza na sasa natembelea sehemu mbalimbali

Mrejesho: Nimefika Mwanza na sasa natembelea sehemu mbalimbali

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,417
Reaction score
6,149
Juzi jumatatu nilisafiri kutoka dar kuja mwanza na niliweka bandiko kuwataka wadada Wa Mwanza wajitokeze hii nifursa adhimu ili tule bata nawakaribisha tena enyi ndugu Wa bashite njooni sasa nipo jijini mkuje rule zile dollar 1300
 
Karibu sana dogo ila wanawake wetu wa huku wana adabu sana.siyo magume gume,wanajua kuwajibika kutafuta ridhiki na siyo kujiuza..japo wa kujiuza utawapata wa makabila ya kuja lakini usimaanishe hawa dada zetu.huku hakuna midebwedo wa kulelewa.
Kwanza njoo hapa mitaa ya CBE karibu na sanamu la samaki then unichek nikufundishe namna ya kuenenda kwenye huu mji
 
Hahahaha ntafika hapo ngoja nile supu ya mawe maana huku kwenu kuna mawe mengi mno nahisi huwa mnapika supu
 
Umezengua...hujaonekana
Niliondoka nipo sengerema kesho mwanza tena
IMG_20170406_113102.jpg
798f44f77cf5f16b20c274cbf6186ae9.jpg
 
Back
Top Bottom