Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

Habari za humu wana JF, natumai wote mko njema.

Natambua baada ya kuleta uzi wangu huu

Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo
Aise...kweli lilia bahati. Wee piga bei nyumba hizo
 
Hadithi za kitoto hizi ahahha nimecheka. Mume wa mtu anakumbushia tena kufunga ndoa na wewe

Sio kukumbushia bali kutaka, ya serikalini as ni mkristo hivyo hawezi kufunga ya kanisani.
 
Hana hela kama uyo baba wako so mpige chini marioo wa watu maana apo atauwawa bure kwa bastola

Asie na hela ndio huitwa marioo? Nilifikiri ni anehudumiwa na mwanamke.
 
Shimo amejichimbia mwenyewe huyu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
 
Asiye na hela ndo marioo yani yule kijana wako ambaye hana mia anayetaka umlele kisa ameona unakigari ulichohongwa
 
Ah wee kuna wanawake wenye bahati zao...achana na nguvu ya mbususu na tako

Na nafikiri wengi hawajawahi kufanya au kufanyiwa hivi ndio maana wanaona ni story nimetunga. I wish ingekuwa tu ni story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…