- Thread starter
- #21
Ni mimi tu ndo naanza kuhisi tunapigwa au?
Ni kwanini mnahisi ni chai? Like how? Kisichowezekana hapo ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mimi tu ndo naanza kuhisi tunapigwa au?
Aise...kweli lilia bahati. Wee piga bei nyumba hizoHabari za humu wana JF, natumai wote mko njema.
Natambua baada ya kuleta uzi wangu huu
Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo
Hadithi za kitoto hizi ahahha nimecheka. Mume wa mtu anakumbushia tena kufunga ndoa na wewe
Hana hela kama uyo baba wako so mpige chini marioo wa watu maana apo atauwawa bure kwa bastola
Nimeishia katikati kusoma, hao viumbe bado wapo kweli dunia hii au unatupiga shosti?
kweli Boss, the whole dramas na mapovu yetu tumepigwa for sure!Why I feel tumepigwa?..
Tumetoa mapovu ya ushauri usikute ni utunzi mtupu..
Kuna vitu haviingii akilini, ila inawezekana pia maana kuna walofanyiwa makubwa zaidi ya hayo. Ila Tanzania hii hii kweli? Hapana haiingii akilini.Haujawahi kupata mwanaume anayekuspoil? Au unahisi kwanini ninawapiga?
Wanaroga hao balaaa....yaani mie nina hamu nipate kuona msambwanda wa bi saaly..Ila wanaume tutafika mbinguni tumechoka sana kiukweli kisa hii michepuko
Ah wee kuna wanawake wenye bahati zao...achana na nguvu ya mbususu na takoKuna vitu haviingii akilini, ila inawezekana pia maana kuna walofanyiwa makubwa zaidi ya hayo. Ila Tanzania hii hii kweli? Hapana haiingii akilini.
Kuna vitu haviingii akilini, ila inawezekana pia maana kuna walofanyiwa makubwa zaidi ya hayo. Ila Tanzania hii hii kweli? Hapana haiingii akilini.
Ah wee kuna wanawake wenye bahati zao...achana na nguvu ya mbususu na tako