Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

Sasa kaleta mwingine wa nini? Au ndio tuone hatupendwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saaly sijapenda.

Ngoja nimjibie maana dada unaonekana imekuuma kweli.
Kwahiyo ndio ilikuwa lengo lako?
 
kitu kimoja unafanya bila kujua, ni kwamba upo kifungoni. kwanza unamuumiza moyo mwanamke mwenzio machozi anayolia yatakutafuna maisha yako yote kama hautaacha na kutubu mapema. imagine ungekuwa wewe na ndoa yako halafu mwanaume wako anamfanyia hayo unayofanyiwa mwanamke mwingine. ungejisikiaje? na ukipata magonjwa uyapokee kama yalivyo ukijua kabisa hapo haupo peke yako, na kama ana ujasiri wa kuchepuka na wewe basi anaweza kuchepuka na wengi na akikuletea ugonjwa upokee na uukubali. jambo moja haulijui ni kwamba, Neno la Mungu linasema, IPO NJIA IONEKANAYO KUWA NJEMA MACHONI PA WATU LAKINI MWISHO WAKE HUWA NI MAUTI.

hapo ulipo unaona upo kwenye njia salama, mume wa mtu kukuita baby, unavyofanya ngono na mume wa mtu na unajiona unafurahi, shetani amekuwekea mtego/ndoano, muda usiuojua atakuvuna mzimamzima kabla haujaokoka, kwasababu ndio lengo lake, utaenda kuota pamoja naye moto wa kuzimu milele na milele. shtuka, mali za dunia hii, wanadamu wasikufanye uukose ufalme wa mbinguni. ngono isikufanye uukose ufalme wa mbinguni ukaenda kuungua moto milele, nyumba na viwanja visikufanye uukose ufalme wa mbinguni ukaenda moto wa milele. na ufanyapo hayo yoote, jua Mungu anakuona. Jicho la Mungu linaona kila mahali na hakuna pa kujificha. kuna siku atashuka kumtegea huyo mwanamke unayemwibia mmewe, ndio utajua kuwa kuna wakati Mungu ana huruma ila kilicho na mtoto wake kikifika kitini pake, atashuka kama vile simba ashuavyo kutetea watoto wake. wala hataangalia mara mbili. please, acha hiyo njia upone.
 
Sasa kaleta mwingine wa nini? Au ndio tuone hatupendwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saaly sijapenda.

Ngoja nimjibie maana dada unaonekana imekuuma kweli.

Kwanini iniume?
Ni vile tu lugha za maandishi huwezi kujua nini namanisha
 
Hapana, ila mlivyopanik ni kama ndicho mnachowaza. Hebu pumueni jamani haya mambo yanawezekana.
Hatujapanik, tumeulizia tu maana umetushirikisha. Tunavyopendwa kunatutosha.
 
Hapana, ila mlivyopanik ni kama ndicho mnachowaza. Hebu pumueni jamani haya mambo yanawezekana.
Jtawaja wenzio kwa presha yaani hapo wanawazia jinsi mbususu zao zilivyosugulia bure bure🀣🀣🀣🀣🀣
 

Mpendwa nashukuru, hakuna alie msafi ila inapotokea wa kukukemea hivi ni heri. Asante sana.
 
Jtawaja wenzio kwa presha yaani hapo wanawazia jinsi mbususu zao zilivyosugulia bure bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hahahaaaaa hata mimi kabla ya kuwa na huyu nilipitia huko huko, mateso ya moyo makali mno. Hata mwanzo nilikuwa naona kama naota.
 
Hahahaaaaa hata mimi kabla ya kuwa na huyu nilipitia huko huko, mateso ya moyo makali mno. Hata mwanzo nilikuwa naona kama naota.
Ah kumbe nawe watu walikuwa wanajibatulia tuu🀣🀣🀣
Eeh bwana tunahitaji ushuhuda kama huu kuwatia moyo warembo kuwa kuwaendelee kuapata mafunzo ya kukata mauno ipo siku mtu atapagawa na kukupa nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…