Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok.No kamanda...tunajua ila ni ile kutamani kuwa pekeyako tu
kitu kimoja unafanya bila kujua, ni kwamba upo kifungoni. kwanza unamuumiza moyo mwanamke mwenzio machozi anayolia yatakutafuna maisha yako yote kama hautaacha na kutubu mapema. imagine ungekuwa wewe na ndoa yako halafu mwanaume wako anamfanyia hayo unayofanyiwa mwanamke mwingine. ungejisikiaje? na ukipata magonjwa uyapokee kama yalivyo ukijua kabisa hapo haupo peke yako, na kama ana ujasiri wa kuchepuka na wewe basi anaweza kuchepuka na wengi na akikuletea ugonjwa upokee na uukubali. jambo moja haulijui ni kwamba, Neno la Mungu linasema, IPO NJIA IONEKANAYO KUWA NJEMA MACHONI PA WATU LAKINI MWISHO WAKE HUWA NI MAUTI.Habari za humu wana JF, natumai wote mko njema.
Natambua baada ya kuleta uzi wangu huu
Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo
Wengi walitamani nilete mrejesho, ila kutokana na kuwa busy kidogo nilikuwa naona uvivu kuandika. Basi baada ya ule uzi, nashukuru sana nilipata mawazo mengi mazuri na mabaya pia, napenda niwashukuru wote kwani kwa pamoja ilinisaidia kutafakari na kujua nini cha kufanya.Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo
Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi. Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua...www.jamiiforums.com
Nilikaa nikatafakari sana na kuwaza na kuwazua, katika hali ambayo sikuitegemea kumbe baby alikuwa ashagundua siko sawa akaniuliza nini mbaya nikamueleza kuwa niko sawa tu. Ila akawa anasisitiza nimueleze nini kinanisumbua, nikamwambia nimemiss kutoka nae out nje ya dar twende sehemu tuliiivu and nitaigharamia hiyo safari. Akacheka akasema wory not baby wewe sema unataka tuende wapi then nitapanga ratiba na nitagharamia. Ila nilisisitiza nitagharamia mimi. Basi akasema sawa.
Akaniambia w.end atakayokuwa na muda, tukaenda zetu Magoroto huko sehemu tuliiivu. Tukafika hotelini mida ya saa 10 jioni, tukaingia tukaoga then nikamfanyia body massage vizuuuri arelax na nk[emoji12]
Baada ya hapo akapitiwa na usingizi mziiiito, akaja kustuka saa mbili usiku. Tukatoka tukapata dinner then tukarudi chumbani. Hapa tukawa tunapiga tu story za hapa na pale na mengine.
Kesho yake tukaenda hiking kidogo kama zoezi na kurefresh akili maana mazingira ni matamu yale nyie! Tulivyorudi baada ya kuoga na kupumzika ndio sasa nikaona ni muda muafaka wa kuyatoa ya moyoni. Nilipoteza raha ghafla na aliponiuliza i started crying, akanibembeleza weee na kutaka kujua nini mbaya ndio kwa sauti ya upoleeeee na kudeka kwingi nikiwa nimemlalia kifuani nikamuuliza ana mpango gani na mimi? Nikamueleza jinsi ninavyotamani kuwa na familia yangu na nyumbani wanavyonisumbua. Pia nikamueleza kama tutaachana basi niko tayari nimrudishie kila kitu alichonipa hata kazi nitaacha maana i was only with him because of love.
Akatabasamu kisha akaniambia “mke wangu yaani hilo ndilo linakuliza? To me you are my wife, na hata ukitaka tufunge ndoa niko tayari ndio maana hadi kwenu nafahamika. Sijafanya hivyo kwa bahati mbaya love, its because i love you so much. Hebu niambie ni nini kwangu unakosa ambacho unahisi huko unakotaka kwenda utakipata, i love you Saaly please dont leave me. Ila pia sikufungi ukitaka unaweza kuniacha ila sitaki unirudishie chochote, all i did i did for love nothing else. Tena kwa furaha uliyonipa hii miaka mitatu naona kabisa bado nina deni kubwa sana kwako, sijafanya vya kutosha. Please niambie ungependa nikufanyie nini, maana vingi nilivyokufanyia vilikuwa ni suprise hivyo sina hakika kama ndivyo ulivyotaka”.
Basi nikawa nimeishiwa pozi, kichwa changu kibovu kikawa kinaniambia nimwambie anioe ila nafsi ikawa inasita. Basi nikajifaragua pale nikamwambia nampenda sana na kila alichonifanyia ni zaidi ya nilivyohitaji. Akasisitiza niwe huru nimueleze na kama kipo ndani ya uwezo wake basi atanifanyia, nikamjibu “i only need your love” akanikumbatia vikafuata vya kufuata.
Baadae alinyanyuka akaenda kwenye begi lake akaja na makratasi, akanipa. Nasoma naona ni title deeds za viwanja viwili na nyumba Morogoro zikiwa na majina yangu. Nikabaki nishangaa, nikamuambia siwezi kupokea vitu zaidi kutoka kwake. Akaniambia basi utajua mwenyewe maana tayari viko kwa majina yako. Kama huvitaki viuze.
Yakafuata mahaba motomoto then kesho yake tukarudi Dar. Akaniambia nitafakari nini nataka then nitamuambia, ndio nikavurugika zaidi.
Okay wale mlotaka mrejesho there you go.
Kwahiyo ndio ilikuwa lengo lako?
Sanaaaa,la si hivyo kutapoa humu.Chai hizi za JF
Lakini ndio zinachangamsha jukwaa
Hatujapanik, tumeulizia tu maana umetushirikisha. Tunavyopendwa kunatutosha.Hapana, ila mlivyopanik ni kama ndicho mnachowaza. Hebu pumueni jamani haya mambo yanawezekana.
KinyamaSanaaaa,la si hivyo kutapoa humu.
Jtawaja wenzio kwa presha yaani hapo wanawazia jinsi mbususu zao zilivyosugulia bure bure🤣🤣🤣🤣🤣Hapana, ila mlivyopanik ni kama ndicho mnachowaza. Hebu pumueni jamani haya mambo yanawezekana.
kitu kimoja unafanya bila kujua, ni kwamba upo kifungoni. kwanza unamuumiza moyo mwanamke mwenzio machozi anayolia yatakutafuna maisha yako yote kama hautaacha na kutubu mapema. imagine ungekuwa wewe na ndoa yako halafu mwanaume wako anamfanyia hayo unayofanyiwa mwanamke mwingine. ungejisikiaje? na ukipata magonjwa uyapokee kama yalivyo ukijua kabisa hapo haupo peke yako, na kama ana ujasiri wa kuchepuka na wewe basi anaweza kuchepuka na wengi na akikuletea ugonjwa upokee na uukubali. jambo moja haulijui ni kwamba, Neno la Mungu linasema, IPO NJIA IONEKANAYO KUWA NJEMA MACHONI PA WATU LAKINI MWISHO WAKE HUWA NI MAUTI.
hapo ulipo unaona upo kwenye njia salama, mume wa mtu kukuita baby, unavyofanya ngono na mume wa mtu na unajiona unafurahi, shetani amekuwekea mtego/ndoano, muda usiuojua atakuvuna mzimamzima kabla haujaokoka, kwasababu ndio lengo lake, utaenda kuota pamoja naye moto wa kuzimu milele na milele. shtuka, mali za dunia hii, wanadamu wasikufanye uukose ufalme wa mbinguni. ngono isikufanye uukose ufalme wa mbinguni ukaenda kuungua moto milele, nyumba na viwanja visikufanye uukose ufalme wa mbinguni ukaenda moto wa milele. na ufanyapo hayo yoote, jua Mungu anakuona. Jicho la Mungu linaona kila mahali na hakuna pa kujificha. kuna siku atashuka kumtegea huyo mwanamke unayemwibia mmewe, ndio utajua kuwa kuna wakati Mungu ana huruma ila kilicho na mtoto wake kikifika kitini pake, atashuka kama vile simba ashuavyo kutetea watoto wake. wala hataangalia mara mbili. please, acha hiyo njia upone.
Kwanini iniume?
Ni vile tu lugha za maandishi huwezi kujua nini namanisha
Hatujapanik, tumeulizia tu maana umetushirikisha. Tunavyopendwa kunatutosha.
Dada hebu niache.Sasa mnachohisi hakiwezekani ni nini?
😂😂😂😂 nimecheka kwa sautiDada hebu niache.
Jtawaja wenzio kwa presha yaani hapo wanawazia jinsi mbususu zao zilivyosugulia bure bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dada hebu niache.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti
We endelea na uzi wako bwana.Kwani nimekufanya nini? Maana sielewi?
Ah kumbe nawe watu walikuwa wanajibatulia tuu🤣🤣🤣Hahahaaaaa hata mimi kabla ya kuwa na huyu nilipitia huko huko, mateso ya moyo makali mno. Hata mwanzo nilikuwa naona kama naota.