Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

Ah kumbe nawe watu walikuwa wanajibatulia tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeh bwana tunahitaji ushuhuda kama huu kuwatia moyo warembo kuwa kuwaendelee kuapata mafunzo ya kukata mauno ipo siku mtu atapagawa na kukupa nyumba
We baba mbona kama unamjaza mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Endelea kula raha mtoto
 
Hivi simba leo katoka ngapi ngapi na wale wayahudi?
 
Kwa sas hakuna mwanaume mjinga kias hik,acha kutudanganya
 
Na nafikiri wengi hawajawahi kufanya au kufanyiwa hivi ndio maana wanaona ni story nimetunga. I wish ingekuwa tu ni story.
Ungekuwa mzur na wowowo lipo ungeolewa,wanawake wanaotembea na waume za watu weng wao ni shapeless,hata huyu lazma atakuwa shapeless,ila mwanaume ndo umemkuta hoppless
 
Mh kiwanja na nyumba labda nyumba za ndege wa porin
 
We baba mbona kama unamjaza mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala...yeyey amekuja kuwapa funzo kiwa ukitumia mbususu vizuri nyumba gari viwanja utapewa....so mjifunze toka kwake
 
Ungekuwa mzur na wowowo lipo ungeolewa,wanawake wanaotembea na waume za watu weng wao ni shapeless,hata huyu lazma atakuwa shapeless,ila mwanaume ndo umemkuta hoppless
Sio kwamba wenye misambwanda ndio wanakuwa michepuko alafu vimbao mbao flat screen ndio tunaweka ndani
 
Habari za humu wana JF, natumai wote mko njema.

Natambua baada ya kuleta uzi wangu huu

Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…