Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatariiii 😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cheka tu ndugu yangu, jf ina mambo hii.
We baba mbona kama unamjaza mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ah kumbe nawe watu walikuwa wanajibatulia tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeh bwana tunahitaji ushuhuda kama huu kuwatia moyo warembo kuwa kuwaendelee kuapata mafunzo ya kukata mauno ipo siku mtu atapagawa na kukupa nyumba
Mkwe nikupe chapati au unakunywa hivyo hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kijiwe nongwa cha JF...
Endelea kula raha mtotoHabari za humu wana JF, natumai wote mko njema.
Natambua baada ya kuleta uzi wangu huu
Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo
Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo
Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi. Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua...www.jamiiforums.com
Vitumbua vitanifaa mkwe...[emoji3526][emoji3526]Mkwe nikupe chapati au unakunywa hivyo hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee usiniambie....yaani jamaa anahonga nyumba kwa mwanamke ambaye hana msambwanda[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] basi mganga wako kiboko
Hivi simba leo katoka ngapi ngapi na wale wayahudi?Habari za humu wana JF, natumai wote mko njema.
Natambua baada ya kuleta uzi wangu huu
Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo
Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo
Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi. Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua...www.jamiiforums.com
Kwa sas hakuna mwanaume mjinga kias hik,acha kutudanganyaHabari za humu wana JF, natumai wote mko njema.
Natambua baada ya kuleta uzi wangu huu
Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo
Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo
Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi. Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua...www.jamiiforums.com
Ungekuwa mzur na wowowo lipo ungeolewa,wanawake wanaotembea na waume za watu weng wao ni shapeless,hata huyu lazma atakuwa shapeless,ila mwanaume ndo umemkuta hopplessNa nafikiri wengi hawajawahi kufanya au kufanyiwa hivi ndio maana wanaona ni story nimetunga. I wish ingekuwa tu ni story.
Nashindwa kuipokea hongera maana nafsi haina amani.
Tena kipigo cha mbwa Koko.....Why I feel tumepigwa?..
Tumetoa mapovu ya ushauri usikute ni utunzi mtupu..
Wala...yeyey amekuja kuwapa funzo kiwa ukitumia mbususu vizuri nyumba gari viwanja utapewa....so mjifunze toka kwakeWe baba mbona kama unamjaza mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha bwana!!!Wala...yeyey amekuja kuwapa funzo kiwa ukitumia mbususu vizuri nyumba gari viwanja utapewa....so mjifunze toka kwake
Uchokozi wangu ni upiIla wewe ni mchokozii[emoji3][emoji3][emoji1487]
Sio kwamba wenye misambwanda ndio wanakuwa michepuko alafu vimbao mbao flat screen ndio tunaweka ndaniUngekuwa mzur na wowowo lipo ungeolewa,wanawake wanaotembea na waume za watu weng wao ni shapeless,hata huyu lazma atakuwa shapeless,ila mwanaume ndo umemkuta hoppless
[emoji23][emoji23][emoji23]Habari za humu wana JF, natumai wote mko njema.
Natambua baada ya kuleta uzi wangu huu
Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo