pastor muyamba
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 252
- 135
Umepata mke. Ni mjamzito umeacha uhuni alafu (soon unaoa!!!) Mbona kama sijaelewa hapa!!!Asante ni wanajamvi.Nina furaha kuliko siku zote
Nmrmpata mwanamke na sasa ni mjamzito ,nmefurahi sana kwaajili yake
Nmeacha uhuni ,soon naoa huyu mama,
Nawasilisha
Kazi njema
Sawa mkuuNakukumbusha; Ishi na mwanamke kwa akili
¹/Nmrmpata²/nikamjua³/ana mimba⁴/namuoa
Mkuu ww ni mwanamke?Umempata wapi? Bar, mtaani guest, lodge au jeiefu?
Anatumia jina gani?
Huyu jamaa sijui hajielewi. Sasa yupi ni yupi?Kwahi utakua na watoto wawili mkuu?
Na huyu mama mchungaji wa zamani kaenda wapi?
MREJESHO: Hatimaye nimempata atakayenifanya niitwe baba - JamiiForums
Mapema mnoAnatumia jina gani?
Umepata mke. Ni mjamzito umeacha uhuni alafu (soon unaoa!!!) Mbona kama sijaelewa hapa!!!
Haya ni maisha huwez jua ,yanayo msibu mwenxio,kujielewa hata kichaa anajielewa ,usijifanye mjuaji sana ,kuwa na kiasiHuyu jamaa sijui hajielewi. Sasa yupi ni yupi?
Hongeraa!Asante ni wanajamvi.Nina furaha kuliko siku zote
Nmrmpata mwanamke na sasa ni mjamzito ,nmefurahi sana kwaajili yake
Nmeacha uhuni ,soon naoa huyu mama,
Nawasilisha
Kazi njema
Asante mamaHongeraa!
Duuh... Ukaamua kufufua makaburi[emoji12] [emoji12]Kwahi utakua na watoto wawili mkuu?
Na huyu mama mchungaji wa zamani kaenda wapi?
MREJESHO: Hatimaye nimempata atakayenifanya niitwe baba - JamiiForums