pastor muyamba
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 252
- 135
Asante ni wanajamvi.Nina furaha kuliko siku zote
Nmrmpata mwanamke na sasa ni mjamzito ,nmefurahi sana kwaajili yake
Nmeacha uhuni ,soon naoa huyu mama,
Nawasilisha
Kazi njema
Nmrmpata mwanamke na sasa ni mjamzito ,nmefurahi sana kwaajili yake
Nmeacha uhuni ,soon naoa huyu mama,
Nawasilisha
Kazi njema