Mrejesho: Nimeng'oa lile jino, limenisumbua 10years nikiogopa kuchomwa sindano ya mdomoni

Nashukuru sijawahi ng'oa Jino hata siku moja maishani mwangu.

Na wala sijawahi kupata matatizo ya Jino/Meno
 
Wa wee huoni huo mkono ni wa kike na mi ni mwanaume?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Vidole vizuri sana!
Naomba namba yako pls ni ku PM kukupa pole
 
Sidhani kama root canal ni muhimu kwa meno ya nyuma

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kwa wote mnaoumwa meno jaribuni huu mchanganyiko unaweza kuwa na msaada mkubwa kwenu;

Chukua ndimu 10
Tulatula 10
Pilipili10
Pakiti moja ya chumvi (ile kubwa)
Maji 0.75ltr

Ndimu zako zikate katikati na usizimenye.
Pilipili pasua katikati usitoe mbegu zake.

Changanya kwa pamoja kisha uchemshe huo mchanganyiko mpaka utokote kisha ipua uuache upoe mpaka kwenye uvuguvugu.

Chuja na tumia hayo maji kusukutua kinywa chako kutwa mara tatu.
Rudia zoezi kwa kipindi cha siku tatu hadi wiki.
Hakikisha kila siku mchanganyiko unatengeneza mpya hivyo usitumie wa jana.
Maji yawe ya vuguvugu pindi uwekapo kinywani so utalazimika kuyapasha kidogo kabla hujatumia.

Mlete mrejesho hapa kwa wale mtakao apply hii mixture.

Nawatakia uponaji mwema.
 
Hongera kwa kuling'oa, ila mara nyingine jino lingine likisumbua ukienda kwa dokta ng'oa ya kinywa kizima ili yasikusumbue tena[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…