Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,173
- 823
Hapo sawa maana jino la juu hata madaktari inasemekana hawashauri ling'olewe maana linaweza kusababisha mgonjwa akapooza au kupoteza maisha.Lilikuwa la chini sema huyo dr. Hakuwa tu mtaalam mzuri labda wa kuchoma ganzi!! Au ganzi zilikuwa zime kwisha muda wake